Waziri apiga marufuku vimini au tight maofisini!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
Waziri anayeshughulikia Utumishi Bi. Hawa Ghasia amesema kuwa kuanzia sasa vimini, vitopu n.k vinapigwa marufuku kwenye maofisi ya serikali. Amesema hayo akidai kuwa anatekeleza Waraka wa serikali wa 1961 ambao unapiga watumishi wake kuvaa mavazi ya aina fulani fulani. Nasubiri habari zaidi..!
 
waziri wa nchi ofisi ya rais anayechughulikia utumishi amepiga marufuku mara moja watumishi KOTE NCHINI kuvaa..VIMINI,TIGHT,SURUALI,VITOP...NGUO ZENYE UJUMBE USIOELEWEKA..NA NGUO CHOKOZI ZINAZOONESHA MAUMBILE..AU NGUO ZISIZO NA MAADILI..amesema kuwa kuanzia sasa ni marufuku kwa watumishi kuvaa nguo hizo ,..

waziri hawa ghasia ambaye yeye mwenyewe tangu ateuliwe amekuwa akivaa nguo za staha kama mfano ..mara zote huvaa HIJAB ,,..anaongoza kwa vitendo..
 
Duh hii kali ila mbona kuna wabunge nao huwa wanavaa nguoa chokozi? Ndio ni maadili kuvaa nguo za kusitiri lakini pia ni kuingilia uhuru wa mtu sijui nyie mnaona je. clothes r nothing compared to work (what he shd be bothered abt is how much econ growth???)even if theyre naked

Ila nakumbuka pale magogoni kulikuwa na chuo cha utumishi wa umma mademu wanakula vimini ni balaa tupu.
 
mtoto wa mkulima kile chuo bado kipo ila ni balaa jinsi wanavyovaa. Labda waanze ni hicho chuo chao.
Ila ni ushauri mzuri wa kazi, siku hizi watu wanavyovaa kazini kama wanaenda disco, dressing code ni muhimu sana sehemu za kazi. Na kwa kuwa serikalini hamna dressing code wadada wanavaa vipedo na tops kazini!!!

admin hii thred iunganishwe na aliyopost mwanakijiji inaongelea issue moja.
 
waziri wa nchi ofisi ya rais anayechughulikia utumishi amepiga marufuku mara moja watumishi KOTE NCHINI kuvaa..VIMINI,TIGHT,SURUALI,VITOP...NGUO ZENYE UJUMBE USIOELEWEKA..NA NGUO CHOKOZI ZINAZOONESHA MAUMBILE..AU NGUO ZISIZO NA MAADILI..amesema kuwa kuanzia sasa ni marufuku kwa watumishi kuvaa nguo hizo ,..

waziri hawa ghasia ambaye yeye mwenyewe tangu ateuliwe amekuwa akivaa nguo za staha kama mfano ..mara zote huvaa HIJAB ,,..anaongoza kwa vitendo..

mzee hii habari bado haijatimia kuna vitu umevihide why ? anaongoza kwa vitendo vipi?

hebu tupe full mziki u situtege halafu tutachangia byema just ni mtazamo tu
 
Kuna tofauti kubwa kati ya vazi la mtu na maadili ya mtu. Je hatua hii itasaidia maadili (rushwa, huduma n.k)? Waziri aache kusahau kuwa dunia ni utandawazi huwezi kuzuia haya mambo. labda alichotaka kila mfanyakazi avae hijabu kama yeye, pia hiyo sio vazi la serikali kwa sababu serikali haina dini.
 
Are you guys kidding me? Where is she coming from? Zamunda? We living on different world, you cant control all the people all the time. I think this need to be resolved in individual company basis. Nadhani makampuni na office husika zinatakiwa kusema what is the dress code, kazi nyingine watu wanavaa casual, na nyingine serious professional. Sasa huyu mama anapojidai headmaster hapo ndio ninapobaki mdomo wazi.
 
Nadhani makampuni na office husika zinatakiwa kusema what is the dress code, kazi nyingine watu wanavaa casual, na nyingine serious professional. Sasa huyu mama anapojidai headmaster hapo ndio ninapobaki mdomo wazi.

Mtanganyika there u are imesema makampuni waamue wenyewe, sasa yeye si ndie mkuu/waziri wa watumishi wa umma? upo hapo
kuvaa casula si tatizo ili kuwe na dressing code inayoeleweka kama casual well and good ili mradi siyo vipedo kazini.
 
Are you guys kidding me? Where is she coming from? Zamunda? We living on different world, you cant control all the people all the time. I think this need to be resolved in individual company basis. Nadhani makampuni na office husika zinatakiwa kusema what is the dress code, kazi nyingine watu wanavaa casual, na nyingine serious professional. Sasa huyu mama anapojidai headmaster hapo ndio ninapobaki mdomo wazi.

tatizo liko wapi?
yeye kaeleza nasimamia sheria ya mwaka 1961 ambayo9 haijabadilishwa tatizo nn?

kama kuna tatizo kwenye sheria zungmzieni sio kumtusi yeye kwa uvaaaji wake au dini yake.

hiyo sheria hajaitunga yeye ila kaona kutokana na hali inavyokwenda kuna haja ya kuifata sheria hiyo kwisha
 
mama lao umenichekesha sana, nahisi kuna zaidi ya hilo sina uhakika ngoja tumsubiri philemon mikael atueleze.
 
mbona hapa watu wanavaa kwa adabu sana especially wakiwa wanaenda maofisini sijaona vimini bado, we have not reached the extremes ni mambo ya kawaida na kama anataka watu wavalie kama yeye she is very mistaken.

Akae ofisini na kushughulikia matatizo yanayowapata wafanyakazi na sio kuangalia wanavaa nini na kupiga mayowe majukwaani.
 
hivi nchi yetu ina laana nini? hii ndio priority ya viongozi wetu kweli? Nadhani watu wangepewa uhuru wa kuvaa ila angeshauri tu kuhusu maadili ya mavazi lakini sio kutoa amri za kikomunisti zilizopitwa na wakati. actually yeye ndio anayevunja clothing codes kwa kuvaa hijabu ofisini. kweli huyu sasa nimeamini ni ghasia tupu! Na awe wa kwanza kupigwa mkasi, kama upo lakini.
 
tatizo liko wapi?
yeye kaeleza nasimamia sheria ya mwaka 1961 ambayo9 haijabadilishwa tatizo nn?

kama kuna tatizo kwenye sheria zungmzieni sio kumtusi yeye kwa uvaaaji wake au dini yake.

hiyo sheria hajaitunga yeye ila kaona kutokana na hali inavyokwenda kuna haja ya kuifata sheria hiyo kwisha

i conquer with u mtu wa pwani issue ni rahisi sana.Kama watu hawataki sheria ya zamani waseme.
 
i conquer with u mtu wa pwani issue ni rahisi sana.Kama watu hawataki sheria ya zamani waseme.

kule kwetu zenji kama hawa huwaambia

si bureeee si buree iko namna
ovyo msingetukana

ina maana kuna jambo limekusudiwa na phil hataki kuliweka wazi hii ni babaisha tu
 
guys lets not be blinded tatizo sisi tuna chuki sana na hawa viongozi kiasi kwamba wakitoa genuine order tunaona ni ufisadi tu.
She maybe bad in many other ways ila sioni tatizo kwenye hii order

1. Sheria ilikuwepo yeye amestress tu
2. Nurujamii unasema tatizo si kubwa? tatizo lipo ndio lawezekana si kubwa lakini its better kutibu ugonjwa inits early stages
Kwenye uongozi especially human resources one deals with so many issues including maadili ya watumishi na maadili ni pamoja na mavazi. Hajasema watu wavae hijab ( hapo nurujamii unamuonea mama wa watu bure) she simply said kusiwe na vimini na mavazi ya aibu period. tatizo ni nini hasa hapo.
 
Salaaam... Kaaazi kwelikweli hapo wizarani kwa Mhe Ghasia..... Sheria ya mavazi ya mwaka 1961 inasimama bado kuhusu mavazi, lakini sheria nyingine kubwa "Uajiri wa Serikalini" imepitwa na wakati na sasa tunaibadilisha (imepelekwa Bungeni)... Kweli pale Utumishi nadhani hawana dira na wala hawajui kuweka "PRIORITIES" zao.... Sheria hiyo ya mavazi ya 1961 inahitaji mabadiliko makubwa sababu ni sheria hiyo inaongelea mambo kama vazi la taifa nk.... "Well Madame Minister, could you first update the law" lazima ajue sasa hivi sio tena mambo ya suti kaunda na vitenge kwa wanaume na maksi dresses kwa wamama... ha ha haaaa

Lakini juu ya yote hapo Mhe umeongea sababu kwa kweli maofisi siku hizi hapa mjini ni shida tupu ukizibngatia tuna "Free Market" ya nguo (hata mitumba nayo ipo juu leave alone mambo ya Chinesse fake clothings)... Mh kibaya ni hizi sheria za "Sexual Harrasment" zinaweza tupata wengi kama kwa kweli Waziri hataliangalia hili, kidogo mambo yanakuwa magumu at times!!!!
 
Sasa kama hiyo sheria ilikuwepo na yeye ameamua kuisisitiza, tatizo liko wapi? Hii habari imeripotiwa kiushabikishabiki vile, kana kwamba Mheshimiwa Ghasia amekurupuka tu na kutoa tamko Mrema-style wakati sivyo!

Halafu kuongezea maneno kama "anaongoza kwa vitendo... anavaa hijabu" maana yake nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom