Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Acha uoga bana!!!!!!!!
....hapo mnaangalia pesa yake tuu.....hayo ya uso mnasemea chooni...Kachoka huyo......tena kanyata ile mbaya!!!lol mtu uso km kapigwa bomu la vietnam!!!
HAPO KWENYE RED: Mkuu wewe ni mtu wa kusini kule Gesi ilipozaliwa eenh?????
Nyuma ya pazia watu husema mengi tu....nina uhakika Kapuya na ukimwi wake wote akija kukutongoza na gari na kukupangia nyumba utajisahau kuwa kachoka na huko kunyata kwake utakuona ni u handsome fulani. Chezeya pesa chafu weye?
Unamanenoo.......
Hahaaa si wanasemaga ng'ombe hazeeki maini.....anaweza akawa amechoka sura tu lakini uko kwingine yuko vizuri....
Kwa asiyejua thamani ya uhai kuwa haifananishwi na chochote hata umnunulie ndege kaz bure
Cynthia Chriss and christine ibrahim once ago said no to this sort of relationship, sijui kama bado wanashikilia kauli zao!
Hahahaa haaaa simplicity no I mean no.
mi nipo na kijana mwenzangu burudani....for better for worse
Ndio maana vijana wengi kila kukicha hasa hapa MMU wanalia kuumizwa na wazee kwa kuibiwa wake, wachumba na magirlfriends zao. Kwa upande mwingine nimeona humu MMU mabinti wakiwasifu wazee, kwamba wapo vizuri kwenye swala zima la mapenzi, nilidhani mnatania lakini baada ya kuona hii picha, nimeamini maneno yenu. Picha hiyo hapo chini.
Hvii wazeee kam hawa c hawakupita hatua ya ujan au inakuwaj
Ndio maana vijana wengi kila kukicha hasa hapa MMU wanalia kuumizwa na wazee kwa kuibiwa wake, wachumba na magirlfriends zao. Kwa upande mwingine nimeona humu MMU mabinti wakiwasifu wazee, kwamba wapo vizuri kwenye swala zima la mapenzi, nilidhani mnatania lakini baada ya kuona hii picha, nimeamini maneno yenu. Picha hiyo hapo chini.
kaka Simplicity. kabla hatujaenda mbali naomba nikuulize swali.. umesoma economics? au una idea zozote kuhusiana na economics na entrepreneurship?
jaman nipe nafasi basiii mamii
Ndio mkuu, nina idea.