Wazee wataendelea kuwatia nyavuni mabinti wengi hasa mjini.

Wazee wataendelea kuwatia nyavuni mabinti wengi hasa mjini.

Kachoka huyo......tena kanyata ile mbaya!!!lol mtu uso km kapigwa bomu la vietnam!!!

Nyuma ya pazia watu husema mengi tu....nina uhakika Kapuya na ukimwi wake wote akija kukutongoza na gari na kukupangia nyumba utajisahau kuwa kachoka na huko kunyata kwake utakuona ni u handsome fulani. Chezeya pesa chafu weye?
 
MMhhhhh! I'vent seen this.
 
Ndio maana vijana wengi kila kukicha hasa hapa MMU wanalia kuumizwa na wazee kwa kuibiwa wake, wachumba na magirlfriends zao. Kwa upande mwingine nimeona humu MMU mabinti wakiwasifu wazee, kwamba wapo vizuri kwenye swala zima la mapenzi, nilidhani mnatania lakini baada ya kuona hii picha, nimeamini maneno yenu. Picha hiyo hapo chini.

prof kizeeeeee
 
mkuu.....mimi huko sipo.....nipo huku zaidi.......

absdiet.jpg
 
Back
Top Bottom