Wazee wataendelea kuwatia nyavuni mabinti wengi hasa mjini.

Wazee wataendelea kuwatia nyavuni mabinti wengi hasa mjini.

Ndio maana vijana wengi kila kukicha hasa hapa MMU wanalia kuumizwa na wazee kwa kuibiwa wake, wachumba na magirlfriends zao. Kwa upande mwingine nimeona humu MMU mabinti wakiwasifu wazee, kwamba wapo vizuri kwenye swala zima la mapenzi, nilidhani mnatania lakini baada ya kuona hii picha, nimeamini maneno yenu. Picha hiyo hapo chini.

sasa mbona hapo wote ni wazeee.
 
Umenichekesha hadi nimefurahi.....................!!! Kumbe ndio mana hata tinna cute ananisumbua siku hizi, kampata mzee ya mujini
 
ukiwa mzee wa CCM unaruhusiwa kufanya dhambi zote kwa sababu you are above the law!!cc kapuya
 
A! a! a! a!
Mashaxizo nimezeeka sana! Hako kademu kenyewe! Au macho yangu tu?
Sasa kijana atachukua kademu kama hako?
Wacha tu kiliwe na vizee wenzie!
 
Hapo lazima patakuwa shivaz au mrina coz mademu wenyewe wamechoka mbaya kama hao babu zao.

Ilikuwaje kuwaje huyu Bwana mkubwa kabisa akajichanganya na watu karibu wote wamevaa kandambili? hata Simba awindapo huchagua aliyenona na wanyama wengine hata wakijipendekeza huwa anawaacha sasa mwenzetu hilo sio issue na nafikiri akishiokwa na hamu kabisa kabisa na hakuna pa kujisitiri huyu aweza chimba shimo chini na akamaliza hamu yake kwa raha zake..Lakini kweli ukimwangalia vizuri kabisa usoni utaona kuwa moto umempitiapitia


attachment.php
 
Hawa wazee ni wakuwapiga vita tena sana,kwa sababu ndo wanaharibu Psycholojia na kuanza kufikiria vitu ambavyo hatuna uwezo navyo wachumba zetu!!
 
Back
Top Bottom