Wazee wataendelea kuwatia nyavuni mabinti wengi hasa mjini.

Wazee wataendelea kuwatia nyavuni mabinti wengi hasa mjini.

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Ndio maana vijana wengi kila kukicha hasa hapa MMU wanalia kuumizwa na wazee kwa kuibiwa wake, wachumba na magirlfriends zao. Kwa upande mwingine nimeona humu MMU mabinti wakiwasifu wazee, kwamba wapo vizuri kwenye swala zima la mapenzi, nilidhani mnatania lakini baada ya kuona hii picha, nimeamini maneno yenu. Picha hiyo hapo chini.
 
Mkuu mapenzi yapi?

Kugegeda

Ama

Kujali?

Nadhani kuna watu wanayachanganya haya
Hebu tufafanulie mukubwa!!!!!!!!
 
Kachoka huyo......tena kanyata ile mbaya!!!lol mtu uso km kapigwa bomu la vietnam!!!
 
Mkuu Eiyer madai ya nyuzi nyingi humu za wadada yanaonyesha wazee wapo vizuri angle zote.
 
Kachoka huyo......tena kanyata ile mbaya!!!lol mtu uso km kapigwa bomu la vietnam!!!

Hahaaa si wanasemaga ng'ombe hazeeki maini.....anaweza akawa amechoka sura tu lakini uko kwingine yuko vizuri....
 
Mkuu Eiyer madai ya nyuzi nyingi humu yanaonyesha wazee wapo vizuri angle zote mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka mapenzi ya pesa wazee ndio wanayaweza na kama ni mpango wa mapenzi ya kugegedwa na ya zati bila shaka kijana ndio mpango mzuma
 
Kama mademu wenyewe ndo typu hiyo yeye awachukue tu!
Not my type at all!!
 
Mbona huyo demu mwenyewe kachoka sana kiasi hicho...
 
Back
Top Bottom