Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,756
sehemu ambayo haina stress ni mbinguni tuKumbe Ulaya nako huwa wanapata stress za magari😁
sehemu ambayo haina stress ni mbinguni tuKumbe Ulaya nako huwa wanapata stress za magari😁
huwa wanafurahi sanaaa wanavyo kichafuaHahahah subie inachakaza road😅
Unaweza ukatoboa sample ukifanya masiharaBaada ya Wami! Wanatakiwa waje wajazie tena kifusi iwe tuta au wakwangue kusiwe na tuta ila kama kawaida yetu hamna anaejali. Hapo ili uwe salama kila tairi likanyage hayo mabaki.
Na injinia wa serikali wa eneo husika yupo...
Hongera sana mkuu, mimi nacheza juu kidogo ya Esther tu wiki ya pili sasaFatuma pia tunaenda nae. Nimeweka Total nione kama kweli yanaisha haraka kama asemavyo Extrovert
View attachment 2091015
Wakuu kati ya BMW 3 series na Audi A4, zote matoleo ya kuanzia 2010-2012, gari ipi ina handle vizuri na ina driving comfort nzuri zaidi ya mwenzie, Msaada kwenye tuta nataka nifanye maamuzi Mungu akipenda nivute moja kati ya Audi A4 na BMW 3 series.Hongera sana mkuu, mimi nacheza juu kidogo ya Esther tu wiki ya pili sasa
Chukua A4 ila kaa mbali na gari zenye hio number plate aka Singapore product. Usithubutu.Wakuu kati ya BMW 3 series na Audi A4, zote matoleo ya kuanzia 2010-2012, gari ipi ina handle vizuri na ina driving comfort nzuri zaidi ya mwenzie, Msaada kwenye tuta nataka nifanye maamuzi Mungu akipenda nivute moja kati ya Audi A4 na BMW 3 series.
View attachment 2091396
View attachment 2091397
View attachment 2091398
View attachment 2091399
View attachment 2091400
View attachment 2091401
View attachment 2091402
View attachment 2091403
Shukrani mkuu,Chukua A4 ila kaa mbali na gari zenye hio number plate aka Singapore product. Usithubutu.
Hahaaa dogo bado tu upo kwenye hayo ya ng'ombe, kama ulikuwa uko kiatu anaanguka tu mbona ukizingatia gari nayo ilikuwa kubwa.Ila dogo uliupiga mwingi sana mdogo wangu
Yaani hadi ng'ombe akaanguka!
Yaani comment yako ilinichekesha tangu siku umeiandika niliona ila nikasema ngoja nikipata muda ndio nitakuja kucheka vizuri.Hahaaa dogo bado tu upo kwenye hayo ya ng'ombe, kama ulikuwa uko kiatu anaanguka tu mbona ukizingatia gari nayo ilikuwa kubwa.
Ndiyo nilikuwa nimetoka zangu kumaliza driving school kujifunza manual then kesho yake nikachukua automatic nikaingia barabarani. Nikaenda na akili zangu za kimanual manual kwenye automatic nikajikuta nishaiva.Hahahahaha gari ulikuwa unaendeshaje hadi unamgonga kiumbe wa mungu yani au uliingia highway ukiwa learner
Ndiyo kama hivyo inabidi tutumie mara moja moja kuangalia videos. Ila siyo kila siku.With time utaiweza tu kutumia.
Mimi natumia bila kupenda.
Aahh mie na ucomedian wapi na wapiYaani comment yako ilinichekesha tangu siku umeiandika niliona ila nikasema ngoja nikipata muda ndio nitakuja kucheka vizuri.
Hadi sasa inanichekesha,,wewe ni comedian mdogo wetu.
Hizi model za karibuni Ile utakuwa matoleo ya nyuma kidogo.