Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,124
- 173,980
Kanjia ka Dom kazuri sana kwa sprint za hatari! Hasa ukishamaliza kihonda hapo 😋😋😋Dodoma - kondoa unafika 180 vizuri na unatulia hapo Kwa dakika kadhaa
Kanjia ka Dom kazuri sana kwa sprint za hatari! Hasa ukishamaliza kihonda hapo 😋😋😋Dodoma - kondoa unafika 180 vizuri na unatulia hapo Kwa dakika kadhaa
Gari ya kibishoo unaipaje kazi ya kiume😂
Hahahah subie inachakaza road😅
Angejaa tu angejua hajui😅Kuna bodaboda kakosakosa bumper ya Disco 4 hapa, niko kwa miguu bado kidogo nimnase kofi! Nimejikuta tu
Subaru inahama mzee, respect to the fucn 2.0L boxer! Jana nilikuwa na officer mmoja wa kitengo cha wakuda aisee ile gari inavyoendeshwa ni zaidi ya schumaker😅😅😅 ndipo nilielewa kwanini wanaisifiaga subaru!Sikatai utofauti wa handling kuwepo. Hili linajulikana dunia nzima. Mjapan hamfikii beberu kwa handling. Plus sina authority ya kucomment kuhusu hilo mpaka nimiliki chuma ya mjerumani au mzungu pia.
Ninachokataa ni kwamba gari za Japan kama hizi zimekuwa limited kwasababu haziwezi handle 260 wakati their european/american versions ambao wanashare the same parts wameachiwa.
In short: japanese can do 260 as well ukitoa limiter. Not as comfortably as BMWs obviously but safely enough to be allowed to get there.
Siukatai utofauti. It just that sometimes mnawaweka wajapani wote kwenye kapu moja afu mnatupa kwenye trash bila kuconsider kuwa kuna individualities ndani ya japanese pia.
Nimekumbuka kuna siku tulikuwa tunakandia subaru humu wakati jamaa mmoja kama sikosei The Wolf katoka kudodosha 35M kuchukua XT yake afu wahuni tunasema hamna kitu hapo
Gari ni dereva wala sio ishu ya Amarok ama sijui TDi! Huyo mwenye Amarok ukiwa jasiri unamsomesha namba tu chap😅 hela ya kujazia tank iwepo tu maana tutachakazana kwa 7rpm kila dakika hamna rangi ataacha kuiona huyo bwege! Plus matumizi ya O/D on and off atafanywa mboga tu mbonaBasi nikikutana nayo ntakuwa na discipline nisije kuadhirika
Ila dogo uliupiga mwingi sana mdogo wangu😂😂Duuh pole mkuu mimi wakati najifunza niliwahi kugonga hadi ng'ombe wa watu kwenye kona ila cha kushukuru hakufa. Alianguka tu number plate ikamkata kidogo kwenye mguu.
Yeah mkuu juzi tu nilikua natafta spare za Surf new Model hasa shocks na coilovers mzigo ulikuwa unagonga 850K za mbele tu😅 hapo bado coils zake uki add inagusa 1.3M! Ukijumlisha na za Nyuma ngoma ilifika 2.4M.Kweli kabisa.
Hahahahaha gari ulikuwa unaendeshaje hadi unamgonga kiumbe wa mungu yani 😂😂😂 au uliingia highway ukiwa learnerDuuh pole mkuu mimi wakati najifunza niliwahi kugonga hadi ng'ombe wa watu kwenye kona ila cha kushukuru hakufa. Alianguka tu number plate ikamkata kidogo kwenye mguu.
😂😂😂😂😂😂Figo na moyo.View attachment 2091004
With time utaiweza tu kutumia.Dooh tunateseka kweli watumiaji wa app. Wengine browser huwa hatutumii.
🤣🤣🤣🤣
Kumbe Ulaya nako huwa wanapata stress za magari😁Mkuu hi ulaya huko 😁😁
🤣🤣🤣Maeneo ya mtera muhimu kuwa makini nishamkuta punda katikati ya road night kaganda wala hastuki ikabidi nimkwepe tu!
Mwaka huu utatumia tu browser au chrome upende usipende😂😂😂Duuh haifunguki! Infiniti gani?
😂😂😂😂😂😂Na punda ukimgonga na kigari kidogo, anajipukuta vumbi anaendelea kula majani, wewe unaenda garage..
Sijasijia chochote, ila kwa kukisia itakuwa CVTWatu wanaigana sana bongo.
Povu linamtoka
Karma mimi ni mpole mno barabarani wallahiNami ndiyo nilikuwa najisemea hapa kuwa hao wasela itakuwa hawajakutana na mtu kama wewe au ISO M.CodD. Hizo pombe zote zitayeyuka kichwani.
😎Karma mimi ni mpole mno barabarani wallahi
Kasoro kwenye ligi. Hapo wana watanisamehe, I have a reputation to maintain.