Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakali wa location, wapi hii?
20240225_162934.jpg
 
Dah kitambo sn umu,wadau ni aje?
Road trips zimekua nyingi balaa zinanikeep busy mno.
Now days napiga trip za songea to kenya kila wiki km kuna mdau anamzigo kutoka tarakea kupitia arusha-babati-dodoma-iringa-makambako-njombe-songea tuwasiliane mnipe maisha kjn wenu
 
Tupia picha mkuu.
 
Back
Top Bottom