Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Kuna shida mahala, ila acha tupambane tu. Hata ushuru wa baadhi ya gari sio sahihi.. bora tungekuwa na kiwanda ndani ingekuwa sawa, kufanya ushuru juu.. ili kutubana tununue ya ndaniMara zote huwa wana maneno mazuri sana ila lete hio gari na ushahidi wako watakwambia sio sahihi na kukupa assessment Yao.






