Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

Huyu nae sijui yupo vipi huko kanda ya ziwa

Amepoteza umaarufu ila ana gari yake moja amejitahidi kui-maintain kwa kuwa na time table nzuri bila kutetereka, inaondoka shinyanga asubuhi inakwenda Musoma jioni inarudi tena Shinyanga
 
@ mung'anzala. HOOD bado anakomaa. DAR. MORO. KYELA. TUNDUMA. Sometime gari zake si uhakika siku hizi
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376480703287.jpg
    uploadfromtaptalk1376480703287.jpg
    53.3 KB · Views: 273
@ Osaba SIMBA .pembeni ABOOD na ISLAM (kati)
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376481587984.jpg
    uploadfromtaptalk1376481587984.jpg
    74.7 KB · Views: 282
@ Osaba DAR- TANGA kuna RAHAA LEO nao
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376482142423.jpg
    uploadfromtaptalk1376482142423.jpg
    81.4 KB · Views: 220
dah hata sijui yuko wapi yule jamaa... ila kama ulikuwa unamfahamu nadhani unaweza ukawasimulia wanajf kidogo fujo za yule jamaa..... afu alikuwa anautani mwingi sana njiani though nachompendea mimi ni kuwa alikuwa makini..
 
Kuna huyu ofisaa wa ngorika dar to arusha ni balaa ni kama mzee hivi yaani hadi bomba la moshi kalikata muungurumo wake na mwendo wake weka mbali kabisa na watoto
 
Huyu jamaa GIRIKI yuko wapi aisee maana alikuwa noma hatari sana huyu jamaaa aisee
Yupo pale iringa kwa MT huwel ana kigari kidogo i.e ki-landcruiser fulani,Ndugu zake walimkataza Asiguse tena Kitu kinaitwa basi la abiria.
 
Ila kama ni wazoefu wa route ya mbeya-dar,basi ILASI EXPRESS,scania marcopolo hamjaitendea haki kabisa,huyu wenzake ni akina Twiga na Happynation
 
@ Zenith. Nalikubali ILASI ya TUNDUMA - DAR. Hapa inachuana na ABOOD ya TUNDUMA ilikuwa anaanza TWIGA. HAPPY NATION. ABOOD. kisha NGANGA NA ILASI. Ila kwasasa kutakuwa na mabadiliki kidogo.
 
DAR - SINGIDA. Kuna huyu nae
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376506775109.jpg
    uploadfromtaptalk1376506775109.jpg
    17.9 KB · Views: 216
Ligi nyingine hii hapa
ubungo-kariakoo-posta
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376507439411.jpg
    uploadfromtaptalk1376507439411.jpg
    27.7 KB · Views: 208
@ Zenith. Nalikubali ILASI ya TUNDUMA - DAR. Hapa inachuana na ABOOD ya TUNDUMA ilikuwa anaanza TWIGA. HAPPY NATION. ABOOD. kisha NGANGA NA ILASI. Ila kwasasa kutakuwa na mabadiliki kidogo.

Mkuu ile hood marcopollo iko chini chini route ya mbeya-arusha ndege ya chini ipo siku hizi??na kuna hood moja ilikuwa inapiga dar-tunduma ina mlio mzito jama jama hizi two hoods zilikuwa balaa miaka ya 2002-2009!!
 
hood bhana siku hizi aaaah,inanihuzunisha sana,hasa dar-moro
 
Ni kweli Hood. Dar- Moro inaudhunisha sana. sababu kuu linachukua muda mrefu kujaza. yaani ABOOD zinajaza mbili au tatu HOOD ndo linajaa moja. Anapitwa hata na B.M COACH ambae ameingia DAR- MORO kati ya 2010/ 2011
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376512018185.jpg
    uploadfromtaptalk1376512018185.jpg
    69.3 KB · Views: 241
@ COURTESY -Sasa hivi Hood Dar-Tunduma hana chake. Kwanza Abood. Ilasi na New force. ndo afuate Sumry na Hood. kwa Dar- moro. Tena ni Abood. B.M coach ndo Hood. kwa Arusha- Mbeya sina uhakika. Ila Dar- Kyela nako Hood yupo nyuma hata kwa NEW FORCE.
 
Kwanini sasa kampuni kubwa inapotea kama ile kampuni ya mabus ya SABCO hata siuji ilifia wapi?
 
mzaramo halisi, yaelekea wewe ni konda wa mabasi yaendayo mikoani hasa Mbeya.

Hebu tuwekee na picha ya Ndenjela linaloendeshwa na yule dada. Napenda uendeshaji wake.
 
Last edited by a moderator:
baaaaaaaa!! na sisi ntwalaa
 
Attachments

  • hamanju.jpeg
    hamanju.jpeg
    7.8 KB · Views: 190
  • hamanju1.jpeg
    hamanju1.jpeg
    8.4 KB · Views: 187
Back
Top Bottom