Juzi nimepanda hili hili Nganga la kwenye picha, dereva akasema hili scandal lilimkosa kwa bahati mbaya tu, cause na yeye alikuwa anataka afanye over-taking bahati tu akasita wenzake wote wakapita, kumbe kuna jamaa ana camera.
Aliishia kula ujiko na sifa kibao kumbe ndio wale wale
Hapo ni Iyovi humo wanazunguka hapo ujue Happy Nation SAUTI YA MANKA ilikuwa labda mikumi mzani inapima hapo wote watacheza ligi itaanza baada ya kupita check point ya Iringa ndiuka kuns mama mmoja ni RTO mkali hata ukiwahi dk 5 anakuandikia faini.wakishapita hapo kwa mama ligi inabaki nganga sauti ya manka na abood ya Tunduma anaendesha jamaa 1 ana mzuzu wanamuita Kidevu.ila siku hizi Zong tong za New force zinasumbua