mnasema hizo happy nation,, sijui nganga,, enzi zile wakati zinaanza kuingia ligi ilikuwa inapambwa na mabasi yafuatayo.....
1. KISWELE,RUVUMA LINE,TAWAQAL, LIKUNGU, SPECIAL COACH, SHABIBY... hizi zote zilikuwa kabla jua halijazama mshatimba SONGEA.. saa kumi jioni watu mnaitafuta KWA MFARANYAKI, BOMBA MBILI..
2. ILANGAMOTO, MAKETE, WIDAMBE, LUPELO. hawa walikuwa watabe wa njombe - dar
3. SAYUNI, MASIA LINE, MATEMA BEACH, SAFINA, HOOD ( to date),ZAINAB'S, ... mbeya dar
hiyo ligi inaanzia pale ubungo terminal basi mishale ya saa 4/5 mpo kitonga au wengine wanakuwa pale ilula wanapata menu kabla ligi haijaanza tena 2nd lap.... dereva aliekuwa mtemi wa hiyo njia alikuwa jamaa mmoja anaitwa GIRIKI..... huyo kama unatoka mbeya afu unataka kuwahi mechi taifa huna wasi wasi.. unawahi bila matatizo... sio hizi takataka za siku hizi......