nimepamiss home
Hawa nao wamo. Dar - Songea basi tatu za kampuni moja
Usimshangae mdau Sangomwile maana siku hizi kwenye sekta ya usafirishaji kuna makampuni mengi mapya ndio yana dominate njia maana kama sikoi Nganga express ilianza kwa safari za Iringa to Mbeya and at that time ilikuwa ngalangala flani nadhani ndio maana mdau akauliza kwa kushangaa hasa ukizingatia ukute na yeye amepumzika kidogo kusafiri maana ukute alisafiri enzi za akina M Sleeping Coach (Mwanahapa)kaka upo dunia gani wewe? ana mwaka wa tatu kama sikosei na basi zake zilikuwa moto sana kwa kuwahi kufika Mbeya.
Kuna mashine moja ya Happy Nation nyuma imeandikwa "Voice of Manka". Hicho ni kisu, mwisho wa maneno. Sijajua hiyo scania engine yake ilifanywa nini. Hiyo ndo kiboko ya gari zote za Mbeya, iringa na Songea.
Usimshangae mdau Sangomwile maana siku hizi kwenye sekta ya usafirishaji kuna makampuni mengi mapya ndio yana dominate njia maana kama sikoi Nganga express ilianza kwa safari za Iringa to Mbeya and at that time ilikuwa ngalangala flani nadhani ndio maana mdau akauliza kwa kushangaa hasa ukizingatia ukute na yeye amepumzika kidogo kusafiri maana ukute alisafiri enzi za akina M Sleeping Coach (Mwanahapa)
...hii ngoma sio ruaha mbuyuni kwenye milima milima...kama Iyovi Fulani hivi.
...hii ngoma sio ruaha mbuyuni kwenye milima milima...
Hizo ni kona za Iyovi, kati ya Mikumi na Ruaha Mbuyuni. Kitonga hakuna mwamba uliochongwa upande wa kulia kama unatokea Dar-Mbeya. Wenyewe umechongwa upande wa kushoto kwa uelekeo huo wa Dar-Mbeya. Vilevile Kitonga haina wajihi huo unaoonekana hapo katika picha.Gefu. Hapo ni KITONGA-IRINGA