Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

Preta. gari za ligi safari uhakika. kufika mapema. mfn. utoke mbeya saa kumi na mbili halafu dar uingie saa nne usiku utakubali vipi wakati wazee wa ligi wameingia saa kumi na mbili
 
Last edited by a moderator:
kaka upo dunia gani wewe? ana mwaka wa tatu kama sikosei na basi zake zilikuwa moto sana kwa kuwahi kufika Mbeya.

Nashukuru mkuu K A B U R U,nilikuwa sifahamu.Kiukweli sijawahi kuona gari zake za Dar ila njia ya Iringa-Mbeya,Iringa-Njombe ameikamata.
 
Last edited by a moderator:
kuna bus zinaitwa LEINA TOURS zinafanya safari za Dar to Kahama ni scania irizar ebana zile gari zinatembea balaa, kwa mikoa ya kanda ya ziwa wao ndio noma kwa sasa
 
ipi inafika mbeya mapema kuliko yote kwa sasa?kutokea dar
 
Kiswere na fresh ya shamba enzi hizo tunashukia kisutu.......Lol

Ila enzi zile nako ilikuwa kasheshe kama ni mgeni wa jiji maana magari ya kwenda Tanga yalikuwa yanapaki Mnazi mmoja, ya Mbeya na Dar yanapaki Kisutu sijui ya Dodoma, Moro, singida na Mwanza Kariakoo na ya kusini yanapaki Temeke, na hapo kipindi inaanza stand ya mkoa Ubungo watu walikuwa wanagoma wengine wanatoa sababu ya moto ukitokea itakuwa shida kuingia kufanya uokoaji kwa stand ina uzio lakini leo hii watu wanakataa tena kuondoka, by the way tumetoka mbali sana katika sekta hii ya usafiri
 
kuna bus zinaitwa LEINA TOURS zinafanya safari za Dar to Kahama ni scania irizar ebana zile gari zinatembea balaa, kwa mikoa ya kanda ya ziwa wao ndio noma kwa sasa

ni kweli hizi gari zinatambaa balaa hakuna wa kumshika
 
attachment.php
 
Hayo maspidi mwenzao Taqwa (Dar - Lilongwe) kaanguka na kuchinja watu 7 jana hapa Malawi.
 
kuna bus zinaitwa LEINA TOURS zinafanya safari za Dar to Kahama ni scania irizar ebana zile gari zinatembea balaa, kwa mikoa ya kanda ya ziwa wao ndio noma kwa sasa

No doubt hizo gari zinatembea sana...dar-kahama!!anaingia singida saa 8 from dar
 
Mzee wa ligi wa kaskazini nasikia jana amepata ajali.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376314135459.jpg
    uploadfromtaptalk1376314135459.jpg
    46 KB · Views: 193
Back
Top Bottom