Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
Mazungumzo ya nini mnamuomba msamaha, mimi napenda Dr.Slaa arudi Chadema kuendelea kumnadi Lowassa.

Matamu hapo....
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Mkuu haya na yawe ya kweli, isijekuwa unatupooza......
 
Nilikuwa wa kwanza kuchangia thread ya rafiki Yericko Nyerere na niliamini japo ndani ya SAA hiyohiyo Dr akakanusha, hii ya leo naombea iwe kweli kama ulivyoandika,picha itaongeza uzito wa taarifa yako
 
Naomba habari hii iwe kweli, Dr Slaa tunakuhitaji sana.
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Mkuu PISTO LERO naomba kukuhakikishia kuwa hakuna mwana cdm wa kweli,hakuna aliye kuwa against na Dr slaa,hao wote unao waona wanatukana au kushinikiza mambo ya kijinga ni ingizo la Lumumba kutaka kuchafua hali ya hewa ndani ya cdm kwa makusudi hata hivyo makamanda tupo macho na ikibidi kukesha kuhakikisha tuna zuia upotoshaji huo kwa kueleza ukweli kwa watanzania wapenda mageuzi ya kweli
 
Mkuu Pisto Lero,

Sijui kwanini,ila nimekuamini kwa hii taarifa yako. Niko kwenye Maombi, naomba Dr Slaa asituache na katu asichukizwe na Matusi Dharau na Kejeri za watu hapa ndani. Yeye ni mtu mzima, achukile haya yanayotokea hapa ndani na kwingine ni kinyesi cha mtoto kwenye kiganja cha mama, Tusonge mbele.

BACK TANGANYIKA
 
Acheni kujipa moyo babu ameshaondoka zake,cha muhim ni kumfuata mbowe awape mgao Wa B10 kwa wanachama wake
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Picha ya wazee walioongea na Silaa.
 
Attachments

  • 1438616241788.jpg
    1438616241788.jpg
    27.4 KB · Views: 69,698
Hivi uwongo mbona umezidi? Wanakwenda kuongea nae nini? Muda mfupi mbowe kasema wameshaongea nae kawaruhsuu waendelee na vikao, mbona mnatuchanganya tu
 
Jaman weng wanaoongea vibaya humu sio CDM ni mapandikiz tu ila kwa mwanachama wa cdm kabisa kabisa hawez kumsema vibaya mzee wetu dr slaa, Tunakuhitaj sana dr rudi tuendeleee na harakat za ukomboz dr
Mungi naye ni pandikizi la CCM?
 
Back
Top Bottom