Hukumu inaandikwa kwanza summary na ndiyo inasomwa siku ya hukumu. Hiyo inahitaji muda kidogo kuiandaa. Wakati mwingine unaweza kuambiwa una hatia alafu hukumu siku nyinginesasa kama ameua bila kukusudia inakuwaje hukumu inasubiri november 13?
Hukumu inaandikwa kwanza summary na ndiyo inasomwa siku ya hukumu. Hiyo inahitaji muda kidogo kuiandaa. Wakati mwingine unaweza kuambiwa una hatia alafu hukumu siku nyinginesasa kama ameua bila kukusudia inakuwaje hukumu inasubiri november 13?
HahahahahaAisee miaka 15 ina muhusu kwaher lulu tulikupenda lakin nyampara wamekupenda zaid
Katika kesi ya mauaji ni lazima ioneshwe huyu mtu anayedaiwa kuuawa aliuuwa kweli na kifo chake kilitokeaje.Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.
Wametoa main I na siyo maamuziAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleeza hapo
Yule ngul wa sheria kibatala amepanga kukata rufaa haraka na mapema ili kumuokoa mteja wake asipigwe mvua zisizo na idad na jaji lumanyika
Kibatala kayaongea hayo nje ya mahakama alipokuwa akizungumza na waandish wa habar kuhusu kes ya mteja wake
Kibatara kadai hakuna ushahid wa moja kwa moja ambao umemukuta lulu na hatia ya kuuwa sema wazee wa mahakama wametoa mamuz kwa mihemuko
LONDON BABY
Kwani inasemwa aliua kwa kipigo?Kihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.
Kisheria huo siyo ushahidi wa kuona..Seth alikua chumba cha pili na ametoa ushahid kwamba aliwasikia wanakimbizana na kupigana then akaja kuitwa Kanumba ameanguka!au unamaanisha nini?
Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.
Sijataka ripoti mkuu angalia vizri reply yako.Report ipi unayotaka? Dr aInno Moshi (Pathologist) wa MNH aliitwa Mahakama kuu kufanya nini?
Kama unamiliki gari dada unaweza kugonga mtu na ukapatwa na kesi..... Usiongee kwa wepesi kama kunyw maji au kunywa chai na bofloKitu Kama hisho hakiwezi nikuta kamwe.Style ya maisha yangu haiwezi niweka kwenye mazingira kama hayo.
Unadhani hakuna kitu kinachoitwa ushahid wa mazingira?Kisheria huo siyo ushahidi wa kuona..
Yaan anaona siku zinaenda haraka haraka kuanzia leoNov 13 Siku hiyo kwake ni balaaa
Ova
Alienda chumbani kwa kanumba kufanya nini wakati walikua wapenziYeye kaua bila kukusudia,Na aliyekufa akitaka kumbaka???Kwa hyo angetulia abakwe samahani kama kuna lugha itawakwaza.
Kwa nini nigonge mtu. Jamani nilipata leseni yangu baada ya kupitia mafunzo. Tena nina international leseni. Nafata sheria za barabarani. Why nigonge mtu ? Prevention zipo Jamani. Acheni kuishi Kwa nadharia.Kama unamiliki gari dada unaweza kugonga mtu na ukapatwa na kesi..... Usiongee kwa wepesi kama kunyw maji au kunywa chai na boflo
Sijaona,,kana moyo wa baridiLeo hajafanya photo shoot baada ya kutoka mahakamani??
Umeona mange amekachamba,,tena kasema wasimchokonoe asijeongea ya marehem seki ,,inaonekana lulu ana kitu sio bureKwa nini nigonge mtu. Jamani nilipata leseni yangu baada ya kupitia mafunzo. Tena nina international leseni. Nafata sheria za barabarani. Why nigonge mtu ? Prevention zipo Jamani. Acheni kuishi Kwa nadharia.