Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

sipati picha sasa hivi huyu binti anajiskiaje..bata tunazipenda ila mwisho wake huwa mbaya
 
Hakuna ushahidi wa kumtia hatiani, ikizingatiwa yeye ni vigumu kumshinda nguvu marehemu physically. Pengine kosa lake kubwa ni kuondoka eneo la tukio wakati mwenzake amepata tatizo.
Ataachiwa huru kwa kukosekana ushahidi wa kuua bila kukusudia.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Pamoja na hayo yote lakini lazima tukubali kuna doa kubwa limeingia kwa mahakama na kwa mawakili wa serikali....ambalo hadi leo nashindwa kuelewa kama yule wakili wa serikali aliye kuwepo jana kama anazo akili timamu kweli au alilewa rushwa aliyopewa...
Kitendo cha kukubali ushahidi wa kijinga wa mke wa Dr Slaa kwakweli ni aibu kubwa kwa mahakama....
Kwakweli sidhani kama hukumu itaaminika kabisa...
Lulu atapewa kifungo cha nje hakuna jipya..............
So japo ushahidi umepinda unakiri kuwa ATAHUKUMIWA?
Hadi unailalamikia Mahakama kweli imekukera
 
Maana yake hapo LULU kishakamatwa na HATIA atafungwa tu....kati ya 5 au 7 miaka.....wakati kulingana na umri wake alikuwa hastahili kufungwa...pia mazingira ya tukio LULU 45 KG asingeweza kumsukuma KANUMBA 80 KG....vyovyote vile kanumba aliteleza mwenyewe wakati anamfukuza LULU.....na haya mambo ya WAZEE NI MAMBO YA KIKOLONI.....badala ya kudeal na evedence wao wanasikiliza wazee....
 
Mmh,mkuu unareasoning hafifu sana...na kuhusu role ya wazee mahakamani ishaelezwa humu.wazee kazi yao sio kuangalia sheria inasemaje bali facts/ushahidi wa kesi ukoje na mwisho nini maoni yao kwa mujibu wa ushahidi ulioletwa mahakamani...ishu za kisheria zote bado zinabaki kwa Jaji mwenyewe.

Kuhusu Kanumba kuanguka akiwa anamfukuza Lulu bado pana utata..maana ukisikiliza utetezi wa Lulu hakuna sehemu alisema kuwa Kanumba alianguka mwenyewe...na pia lulu alieleza kuwa baada ya kumkimbia Kanumba alimfuata mpaka nje akiwa na taulo na baadae kumburuza hadi ndani. na huko ndani ndo yalipotokea hayo majanga.

Obvious, huko ndani kuna kilichotokea tu, na baada ya kanumba kuanguka wakiwa chumbani ndipo lulu akamuita kaka mtu kwa ajili ya msaada,wakati huo lulu akakimbilia chooni kwa kinachodaiwa ni kuwa na hofu...pia baada ya kaka mtu kutoka kwenda kumuita dokta ndipo lulu nae akapata upenye wa kusepa na kuelekea coco beach kupunga upepo.

Kesi bado ngumu aise.
 
Maana yake hapo LULU kishakamatwa na HATIA atafungwa tu....kati ya 5 au 7 miaka.....wakati kulingana na umri wake alikuwa hastahili kufungwa...pia mazingira ya tukio LULU 45 KG asingeweza kumsukuma KANUMBA 80 KG....vyovyote vile kanumba aliteleza mwenyewe wakati anamfukuza LULU.....na haya mambo ya WAZEE NI MAMBO YA KIKOLONI.....badala ya kudeal na evedence wao wanasikiliza wazee....
Na leseni alipataje kama alikua under 18?
 
Jaji Rumanyika ameshatoa hukumu? Naamini bado. Wazee wa baraza wanashauri tu (kwa jinsi ninavyojua). Nipo tayari kusahihishwa/kuelimishwa.
Hawa wazee wa baraza umri wao unaanzia miaka mingapi? na wanapatikana vp?
 
Back
Top Bottom