Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Wewe si ndio ulidindisha kisimi chako hapa JF kushangilia Mange account yake ya Insta imedeletiwa? Kumbe ni follower wake ila chuki tu zimekujaa kenge wewe.
Asante. What I know mimi siyo kenge. Kamwe maneno yako hayawezi nifanya niwe kenge. I'm a family super mama of 7.career woman, good wife. Najipendaje sasa. Yaani we Acha tu.
 
Report ipi unayotaka? Dr aInno Moshi (Pathologist) wa MNH aliitwa Mahakama kuu kufanya nini?
je hiyo ripoti ya pathologist kabla ya kuiwakilisha mahakamani aliwapa upande wa utetezi ili nao they can apply their mind ,may be to seek a second pathologist to exam the body,remember its a right for defending side also to have a say on report before court.
 
Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.

Nkanini please jitahid ujiunge na quora uko smart saan mawazo yako yanahitajika kulee. Strong facts zinazaa issue ambazo mtu akisoma akiungabisha na vifungu vya sheria tunasema hiyuu kafanya hicho kitu kwa iq yangu ya 0000.01 sioni kituuu hapooo ila kwa kuwa tupo tanzania na sio puetro rico anything can happen.
Hiv wazee wa baraza wana legal letaracy??
 
Wazee wa baraza hawana legal literacy,na hawatakiwi kuwa hivyo...kwa sababu wao kazi yao kubwa ni kutoa maoni juu ya facts na ushahidi ulioletwa mahakamani,na sio sheria inasemaje juu ya issue husika.

Na ndo maana huwa hawatoi maoni kwa mujibu wa sheria bali kwa mujibu wa ushahidi na facts.

Hawa wanatakiwa kuwa na sifa kuu ya uadilifu,tabia njema katika jamii na busara tu...mara nyingi uzoefu unaonesha wanapenda kuwa walimu wa shule,au wastaafu wa kada nyengine mbali na sheria.

Na ndo maana mwisho wa siku Jaji mbali na maoni ya hao wazee huwa anaangalia position ya sheria ikoje juu ya issue husika,lakini pia yeye kama Jaji huo ushahidi ana uonaje,na ndo maana mwisho wa siku anaweza kutofautiana kabisa na maoni ya wazee kutokana na sababu atazozieleza katika Hukumu yake.
 
Mkuu toka mwanzo ilikuwa inajulikana kuwa aliua bila kukusudia..hao wazee wametimiza wajibu wao tu!Jaji ndo atatoa maamuzi ya kumwachia,faini au apigwe mvua!kikubwa jaji ataangalia mambo mengi sana...umri,ugonjwa wa kanumba,pombe..nk...ila kwa mawazo yangu mm ..atatemwa au faini!
Unaweza tupatia japo kamfano kiduchu mtu aliye wahi kutozwa fain kwa kesi ya mauaj ya bila kukusudia?
 
Ile mwanzo alivyotoka magereza angezaaga mtoto wake mmoja maskin sahv ingekuwa afadhal kama ikitokea akafungwa anaacha kachata
 
Hukumu nov 13 sherehe za uhuru dec 9. Lulu akiwa na bahati atachomoka nov 13 au akikwama basi atapata msamaha wa upendeleo dec 9 akishindwa hapo ndo basi tena atatumikia kifungo tu au rufaa itamuokoa
#justthinkingloud#
Msamaha sio kwamba uwe umetumikia nusu ya kifungo chako? Na inategemea na makosa?
 
Wazee wa baraza ambao pia ni washauri wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wameeleza kuwa msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ameua bila kukusudia.

Kutokana na hali hiyo, Jaji Sam Rumanyika amepanga kutoa hukumu Novemba 13 mwaka huu.

Elizabeth Michael 'Lulu' anakabiliwa na kesi ya mauaji bila kukusudia kwa msanii mwenzake, Stephen Kanumba yaliyotokea April 7, 2012. Jaji anaesikiliza kesi ya Lulu, Sam Rumanyika alisoma ushahidi wa pande zote mbili kisha kusikiliza maoni ya wazee wa baraza.

Katika maoni yao, wazee wa baraza wote watatu wamesema Lulu ameua bila kukusudia, mzee wa kwanza ajulikanaye kama Omary Panzi amesema ni kutokana na ushahidi wa mdogo wake Kanumba, Seth Bosco ambae alielezea ugomvi uliotokea baina ya Lulu na marehemu.

Mzee wa pili, Bi. Sara amesema Kanumba alikufa kutokana na ugomvi ambao shahidi pia kaueleza kulikuwa na giza. Mzee wa tatu, Rajabu Mlawa amesema kutokana na sababu zilizosomwa ameridhika na hakuna ubishi kuwa Lulu ana kosa la kuua bila kukusudia.

Poor Lulu she was in the wrong place at the wrong time. Ila tukio lile lilitakiwa limfundishe ila hajajifunza kitu. Bado kaendelea na katabia kabaya kalekale.
 
Wazee wa baraza ambao pia ni washauri wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wameeleza kuwa msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ameua bila kukusudia.

Kutokana na hali hiyo, Jaji Sam Rumanyika amepanga kutoa hukumu Novemba 13 mwaka huu.

Elizabeth Michael 'Lulu' anakabiliwa na kesi ya mauaji bila kukusudia kwa msanii mwenzake, Stephen Kanumba yaliyotokea April 7, 2012. Jaji anaesikiliza kesi ya Lulu, Sam Rumanyika alisoma ushahidi wa pande zote mbili kisha kusikiliza maoni ya wazee wa baraza.

Katika maoni yao, wazee wa baraza wote watatu wamesema Lulu ameua bila kukusudia, mzee wa kwanza ajulikanaye kama Omary Panzi amesema ni kutokana na ushahidi wa mdogo wake Kanumba, Seth Bosco ambae alielezea ugomvi uliotokea baina ya Lulu na marehemu.

Mzee wa pili, Bi. Sara amesema Kanumba alikufa kutokana na ugomvi ambao shahidi pia kaueleza kulikuwa na giza. Mzee wa tatu, Rajabu Mlawa amesema kutokana na sababu zilizosomwa ameridhika na hakuna ubishi kuwa Lulu ana kosa la kuua bila kukusudia.

three quarters of contributors of this thread would like for her to get a heavy sentence. some opine for 15 yrs others 30 and others have gone for life. there's the good news and the bad news to that line. shall I start with the good or the bad?
 
anza na nzuri
 
Back
Top Bottom