Uchaguzi 2020 Wazee ni Hazina , Mkongwe Steven Wassira achukua fomu ya kugombea Ubunge Bunda

Najua hakuna anayekubali kusema imetosha.

Mzee Wassira basi ungesikiliza vid ya Makongoro usome nyakati

Mzee wangu nimeshtuka kuona umerudi tena kana kwamba hilo jimbo ni la ukoo ama hakuna wengine wa kugombea.

Najua CCM ya sasa sio ile ya pindi ile, na makosa ama kosa kubwa watakalojutia na kukupitisha wewe kuwania ubunge.

Sijui dhahiri dhamira yako ila naamini ulishiriki vyema miaka yote; nahisi zamu ya wengine baba, kuendelea kubadilisha uhalisia wa hilo jimbo

KILA LA KHERI
 
Kwa kifupi ni kwamba mzee Stephen Wassira yuko bungeni kabla CCM haijazaliwa na mbunge wa sasa Esther Bulaya alizaliwa baada ya CCM kuasisiwa.

Ya kale dhahabu.

Maendeleo hayana vyama!
 
hawa hawajajipanga kimaisha wanawaza Ubunge tu

CCM washasema 10 inatosha. waache ujinga mbonaa sisi kwenye ajira wanataka uzoefu tutaupataje kama hawataki kuachia kamba.


wakafie mbele huko
 
Amemiss kusinzia? Badala atulie ale pension yake taratibu huku akimshukuru Mungu na vacay za hapa na pale,mzee haridhiki kabisa huyu Bunda piga chini.
 
Niliwahi kuelezwa jambo baya sana kuhusu huyu mzee na marehemu bibi yangu. Alikua akimchukia sana kila amuonapo kwenye runinga.
 
Wazee wakajiajiri, hakuna cha hazina wala nini hapa! Waachie vijana hizo nafasi kupunguza tatizo la ajira, mitaji wanayo mikubwa, connection nk
 
Back
Top Bottom