Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,398
Wasalaam Wataalam wa Darisalaam,

Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini?

Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota.

ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka home tumeenda bar moja Sinza. Sasa ilipofika mida ya saa6 tukawa tumelewa na pombe kama kawaida yake zikahamia chini. Akili ikaja tutoke tukatafute club zenye Malaya.

Tukawa tunatembea mguu kwa mguu kwenye mitaa ya Sinza tukiulizia kwenda Lachaz au Ambiance au pande zozote zenye malaya. Hapo tunatembea tunayumba.

Kuna mtaa mmoja tulifika siukumbuki mtaa gani, ila kwa mbele tukaona kama bro mmoja anakuja direction yetu ila alipotuona akageuza akaanza kuelekea tunakoenda sisi. ilikuwa ni mtaa wenye Giza Giza sio kwenye main road. Yule bro akaanza kupunguza mwendo tukawa tunamkaribia tu mwishowe tukafika usawa wake.

Itaendelea, ngoja kwanza nijimwagie maji apa.
 
Basi bwana, tulivofika usawa wake tukaona kama tunakoelekea Giza linazidi kuongezeka tu hamna dalili ya mtaa uliochangamka,tukaona tumuulizie tu uyo bro...mshkaji wangu akamuanza "Samahani bro, Hivi apa LaChaz ipo kwa wapi?"

Jamaa akatuambia "Dah hapa mnakoenda siko, LaChaz apa inabidi mgeuze mnakotokea muikamate lami mpinde kushoto mnyokee moja kwa moja mkifika uko ndo muulizie tena"

"Kwani ni mbali sana bro?" Tukauliza
"Eeeh, Kuna kaumbali.,.kama vipi pandeni boda" Akajibu.

Sasa mfukoni hatukuwa fresh kivile maana hela nyingi tushalewea pombe kwahyo tumebakiza kias kidogo Cha nauli kesho, na hyo ya Malaya(tulitenga kama 20k ya Dem) kwahyo tulkuwa tunafanya kuminimize cost, Plus nikichek jamaa angu kalewa nzwii hawezi Tena kutembea umbali mrefu. Ikabidi niulize
"Kwani bro, hapa hamna club nyingine iliyo karibu na uku? Maana sisi shida yetu ni Madem tu kusema ukweli"

Jamaa akajibu "Aah mngesema madogo. Hii ndo Sinza, mnauliziaje vumbi stoo?"
"Hapa mi mwenyew nmetoka Bar moja ya Wema sepetu haiko mbali na hapa, nilikuwa na washkaji Zangu ni tumelewa balaa na kulikuwa na warembo kama wote. Naenda Ghetto apo kuchukua hela narudi huko. Kama vipi twendeni niwapeleke" akasema.

"Duh, Sisi bro kusema kweli hatuko fresh vile kimfuko, Sasa iyo bar ya macelebrity tutawaweza kweli?" Nikamuuliza

"Aah nyie twendeni mkazuge zuge pale, nunueni vibia viwili vitatu uku mnasoma mazingira, pale hata 50k unapata mtoto mkali" Akajibu

Mshkaji wangu akamwambia "Skia bro, apa tuna 20k tu kwahyo hao hatuwawezi, we kama vipi tupeleke sehemu ya Malaya cheap tuloweke tuite nayo siku"

Jamaa akacheka af akasema "Haha,nmewaelewa madogo, Ngoja niwasaidie kitu. Mimi maghetoni nilipopanga Kuna vyumba kama vitatu majirani wamepanga watoto wa chuo (UD) mi mwenyew mwanachuo. Wale watoto Huwa wadangaji tu. Kama vipi twendeni maghetoni kwangu nkawashtulie hao madem. Mnaweza kuwapigia humohumo maghetoni mkaondoka asubuhi wepesiiiii"

Tukaangaliana na msela wangu, tukaona hii mbona kama Golden chance, Bomba la connection. Wacha tuzame na huyu bro maghetoni kwake tuseleleke na K za chuo.
Hapo keep in mind Bado ni tumelewa kinoma.

Tukamkubalia huyo bro, haooo mguu kwa mguu tukaongozana nae kuelekea maghetoni kwake mitaa ya Sinza. Hapo ni usiku ikielekea saa7.
 
Vipi babu endelea basiiiii
 
Back
Top Bottom