Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
Me naona wazaz wamekushauri vizurr kabisa, coz me katika jamii nimeishi nao vizurr nawajua tabia zao wachaga wanavyo fanya afu wanapenda ushirikinaa sana ,sio wazur kabisa...
 
Miongoni mwa wasichana bora zaidi kijamii kwa sasa kuoa ni wale wanaotokea kwenye kabila la WACHAGA. Kwa sababu:
1/Upeo mkubwa kielimu na kimaisha.
2/Ustaarabu wa kimaisha.
3/Juhudi kubwa za kiuchumi.
4/Uaminifu wa Ndoa.
5/Uzuri wa kimaumbile.
 
Hizi story mbona za long tym sana mtoto utakuta amezaliwa town amekuwa town hata kichaga hajui ila mchaga jina afu una umiza kichwa nama story ya uongo eti wana ua mara wakorofi we kama umeridhika nae weka ndani bhna hizo mamb zilikuwaga kitambo
 
Wachaga si wabaya hivyo ila wako serious na maisha unakuta kuliko hata hao waume zao,ni watafutaji mno, ila tatizo linakuja kwa wazamiaji kwenye familia za watu wanotaka kuzeekea kwa watu, kupewa mitaji kwa watu, kushindia kwa watu,kupikiwa kwa watu eti ni mashemeji mara mawifi mlikuwa wapi saa watu wanatafuta kwa bidii mnakuja kuelemea familia ndio hao wanojifanya kusema ohh sikuhizi hatuendi kwa kaka kisa kaoa mchanga kalisheni masaburu majumbani kwenu

punguza kusema ukweli. watu watakuchukia
 
Mke ni wako na sio wao... Ifikie mahali tukubaliane kutokukubaliana... Wewe ndio mwenye uamizi wa mwisho mkuu
 
Mimi nilidhani wewe kabila lingine nje ya kaskazini.
Kama uko mmeru sioni tatizo kuoa mchaga.
Wameru wana matatizo yao ndigu yangu. Wakorofi,roho mbaya,majivuno,ukabila.
Nenda akheri ndo kabisa,na kwingineko. Mara kumi usettle for what you love and not what others are talking about. Hakuna mkamilifu.
Kila la kheri mkuu.
 
Hakuna kabila zuri duniani kuoa hata siku moja....

All people are crying, marriage is the only battle which enemies are sleeping together..

It is a matter of time coz no one is safe na kila unayemuona haijalishi kaoa kabila lake au gani ni vilio tu...

Ndio maana wanaume wengi wanakufa mapema sababu ya matatizo na Shida wanazopata kutoka kwa wake zao
 
Kasoro kubwa ya wachaga ni roho mbaya a.k.a roho ya kwanini na uvumilivu kwao ni sifuri + mapenzi nzero pia ni hayo tuu, ila upande mwingine wako vyema watafutaji wasio katatamaa na wapenda maendeleo
 
Mjomba wangu aliowa mmachame wa sanya juu. Hata baada ya familia kumkataza maliyote ilimikiwa na huyo mwanamke baada ya miaka 16 na Mjomba Figo zili feli ghafla na maini kuharibika sioni alimpa sumu gani,hivi sasa ni mjane.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom