Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
upendo wa kweli ndo uwe mbele..
ni jambo zuri kuwasikiliza wazazi lakin swali ni je nani ataishi na huyo mwanamke wewe au wazazi?
jaribu kuwaelewesha kuhusu huyo bint umpendae
 
Mkuu, fuata wakuambiayo wazazi....usifuate watu wasiokujua huku JF eti huo ni ukabila...Ukishaoa mtu ambaye wazazi wako hawamkubali ndo umejitenga nao hivyo...Ukipata changamoto JF hawatakuwepo, wazazi wako ndo watakuwepo
.
 
Sikiliza ngoma ya Rama-D inaitwa "Usihofie Wachaga".
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?

Hawa wazazi wako hawataki uje kuwa Waziri mkuu? Hawajajuwa siri ya uwaziri mkuu nchi hii owa mchaga.

Nawapenda wachaga wana changamoto za maendeleo hata mimi naelekea hukohuko chukuwa kitu mwanawane.

Hivi angekuwa ni binti wa Bwana Mengi ndio unaowa au wa Ndesa pesa wangekuwa na msimamo huo?

Grow up waambie unawaheshimu sana lakini wewe hauwowi mke wa ukoo ni mke wako wewe tu baasi.

Wameshaishi maisha yao sasa wasitake kuishi na maisha yako wakuachee.
 
Ukabila tu kama wakenya utawauwa mbwa nyie! we domo zenge utawezea wapi kumtongoza mtoto wa kichaga hela huna unasema eti wazazi hawataki f***
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?

Pole sana,kaka ni bora uache tu maana hao watu ni kero.kubwa sana,utakuja kuchukua mzigo usioweza kabisa,na atakusumbua,kaoe sehemu nyingine,wengine tumeshaingia vyoo vya kike kwa kuoua uchagani,kifupi ni pasua kichwa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom