Wazazi hawataki nioe Mchaga

Wazazi hawataki nioe Mchaga

Status
Not open for further replies.
Wachaga siyo wanawake wa kuoa, braza kaoa Leo hatuwezi kwenda kumsalimu kwake,wachaga siyo watu kabisa,wapo after property, wabinafsi sana,achana nao
 
km wanatoa sababu zisizo na mashiko we oa umpendaye km ni wife material, pa1 na wazazi we2 kuwa na hekima ila sio kila wakati wanakuwa sawa
 
Hapo umesema,na wasioheshimu chochote like hata uwafanyie nini.
Kabisa mkuu tunaweza ficha hili kwa kusema cjui inategemea na mtu ila ukweli ndo huo japo ni mchungu ila tuukubali hawa jamaa ni hatari ata uwe na rafiki wa huko bado si mtu kwako useme he is just like my blood relative Kwa kifupi ni watu wanaongalia una nini kikiondoka nae kwaheri kutafuta sio kesi ila kwann usiwe mvumilivu na utake mteremko sambaba na hayo wana tuhuma za kuua waume zao na kubaki lonely wa spend life ....Hatuwachomei wasiolewe kama wanaoane waone wao kwa wao
 
Nashindwa kuelewa jamani. Kama umeogopa amri tu ya wazazi, unakuja humu jf ili tukuamrishe sisi kuivunja amri ya wazazi wako? Hapa inaonesha; Kwanza hujakomaa, tena huna uwezo wowote ule unawategemea wazazi wako kukulipia mahari na hata kukuoza mke.
Pili; Hujui maana ya mapenzi. Na mke utakayeoa kama hukumpenda weye ila unategemea kuja kumpenda, hakika utaugulia moyo mpaka ukonde. Hakuna awezaye kuzuia mapenzi ya kweli. Kwani uliwashauri wazazi wako waoane??
Oa umpendaye wala si yule uliye chaguliwa na wazazi. Huoi kifaa cha ndani unaoa mwenzi wa maisha yako yote. Ambaye utajikuta uko naye kila siku kwa maisha yako yote. Hakuna siku utamwomba babako akae naye kidogo aonje uchungu wake. Khaa! Bado mpo tena wa kumtegemea baba hata kwenye ndoa
 
Wachaga siyo wanawake wa kuoa, braza kaoa Leo hatuwezi kwenda kumsalimu kwake,wachaga siyo watu kabisa,wapo after property, wabinafsi sana,achana nao

Nomaaa saana wapo humu wanaona, I hope watajirekebishaaa
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?

Kuna logic ukiangalia hizo sababu walizotoa? Ila ni vyema kuoa mwanamke ambaye kwa kiasi kikubwa mna-share cultural backgrounds.
 
Yan huku kulalamika watu hawajaanza leo, huko KILIMANJARO HAWA WANAWAKE WENU Wana matatizo gan????????
Hawana tatizo lolote basi tu watu wame shamezeshwa sumu vichwani mwao kuwa wanawake ni wabaya ndo imewa affect kisaikolojia. Kiasi kwamba hata kwenye ndoa badala ya mtu kufikiria changamoto kuzitatua yeye anakua na too much negativity.
Ua weak usihangaike kuwaoa. Wale wanajituma na hawaogopeshwi na kitu.
 
Thats very true naona taratibu mnahamia kwa Wapare sasa, Ila nnadhan inategemea mtu na mtu, mazngira aliyokulia, Malezi!!! Na vitu za hivyo!!! Ww mwanaume mzma unaendeshwaje na mke wako bwana?? Ulikurupuka kuoa au?????
 
Wapare tena ndo majangazi tupu. Ka mwanaume ulilelewa kimfumo dume hutaki challenge na ku pretend wewe ni kidume kwa wanawake wa kule lazma ule wa chua aisee. Mahusiano yoyote ni makubaliano na kuelewana pia kitabia na kila kitu,malezi nayo yana changia. Kikubwa ni kuoa umpendayo kutoka moyoni ili mvumiliane mapungufu ila ukichahuliwa baadae ni majanga. Bora kufata moyo unataka nini
 
Habari,

Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti.

Mchumba wangu huyu ni mchanganyiko wa Mkibosho(mama) na Mmachame(baba) ingawa nilishakuwa na uhusiano na binti wa Kimeru na ndio wamekazia hapo?

Nifanyeje? Hivi ingawa ni tabia ya mtu binafsi lakini nani zaidi kati ya Mmeru na Mchaga?

Kaka tena mwache fasta hiyo mixer ya mmachame na mkibosho ukishaoa tu mtoto wa kwanza wa pili ndio mwisho wa life lako"""............ Au yasije kukutokea ya Ufoo Saro wa ITV
 
Wachaga siyo wanawake wa kuoa, braza kaoa Leo hatuwezi kwenda kumsalimu kwake,wachaga siyo watu kabisa,wapo after property, wabinafsi sana,achana nao

acha shobo kwenye familia za watu,kama ni Mali tafuta za kwako zile ni zao,nyie ndo mnaoleta migogoro mingi ya usimamizi wa mali za mirathi baada ya kifo kutokana na uvivu na mawazo ya kimaskini hivi,Mkuu unayeoa ndoa ni zaidi ya uionavyo na kuijua yani inakuhusu wewe zaidi na huolei jamii,fata moyo wako unapopenda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom