Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,838
18,250
Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu wa Nyerere na Karume ambao, kwa namna yoyote ile, hauna tija kwao.

Taabu hii haipo kwa wazaznzibar peke yao bali hata watanganyika wanahisi muungano huu umekuwa ukiwaletea shida za hapa na pale, huku serikali na chama chake wakiwa wameziba nta na pamba masikioni. Tazama jinsi watanganyika wanavyonyanyaswa nchini Zanzibar kwa kunyanganywa vifaa vyao vya kiutamaduni na kuwadhalilisha hadharani. Hii sio sawa hata kidogo.

MAONI YANGU
Mimi nafikiri sasa ni wakati muafaka watanganyika tuondokane na huu utumwa wa kunyanyaswa na wazanzibar kila kukicha kwa kuchukua hatua madhubuti. Hatua ya kwanza ni kuwasaka wapemba waliotapakaa hapa nchini na kulipiza kisasi kama watanganyika wanavyonyanyaswa huko Zanzibar. Na hatua ya pili ni kutaifisha mali zao kwa maslahi mapana ya umma wa watanganyika.

Nawasilisha.

Huu muungano Nyerere aliuingia kwa makusudi yake maalum, ni kama kuna jambo aliona linaweza kutokea na kuhatarisha usalama wa Bara kwa kuanzia huko visiwani.

Ndio maana kuna moja ya kauli zake aliwahi kusikiwa akisema kama ingekuwa ni uwezo wake, kile kisiwa cha Zanzibar angekikokotea mbali kabisa baharini.

Naamini hiyo ndio sababu iliyomfanya Nyerere atumie mbinu zote kuingia huu muungano ambao sisi wengine hatuoni maana yoyote juu ya uwepo kwa sasa.

Ingependeza kama angetokea mwandishi yeyote wa habari amuulize Nyerere afafanue juu ya kauli yake ile aliyowahi kuitoa.

Bahati mbaya he is no more, lakini ajabu bado hawa CCM waliopo nao wanaendelea kuulinda huu muungano kwa nguvu zao zote, sijui wana siri gani kwetu, serikali ya ajabu inayoongoza kwa siri wale inaowaongoza.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo huu Muungano kuna watu wana maslahi nao binafsi na hao ndiyo wanaong'ang'ania huu Muungano lakini wajue tu huko mbele utaleta balaa kubwa watu wakisema sasa imetosha liwalo na liwe.
Rai yangu kwao wakubali tu hivi sasa kukaa chini ili kutengeneza muundo mpya utakaoondoa manung'uniko kwa pande zote mbili za Muungano.
 
Huu ni muungano wa kipumbavu hauna mfanowe hapa ulimwenguni
 
Tatizo huu Muungano kuna watu wana maslahi nao binafsi na hao ndiyo wanaong'ang'ania huu Muungano lakini wajue tu huko mbele utaleta balaa kubwa watu wakisema sasa imetosha liwalo na liwe.
Rai yangu kwao wakubali tu hivi sasa kukaa chini ili kutengeneza muundo mpya utakaoondoa manung'uniko kwa pande zote mbili za Muungano.
Muungano upigiwe kura na siyo huu wa kulazimisha
 
Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu wa Nyerere na Karume ambao, kwa namna yoyote ile, hauna tija kwao.

View attachment 2891578
Taabu hii haipo kwa wazaznzibar peke yao bali hata watanganyika wanahisi muungano huu umekuwa ukiwaletea shida za hapa na pale, huku serikali na chama chake wakiwa wameziba nta na pamba masikioni. Tazama jinsi watanganyika wanavyonyanyaswa nchini Zanzibar kwa kunyanganywa vifaa vyao vya kiutamaduni na kuwadhalilisha hadharani. Hii sio sawa hata kidogo.

View attachment 2891579
MAONI YANGU
Mimi nafikiri sasa ni wakati muafaka watanganyika tuondokane na huu utumwa wa kunyanyaswa na wazanzibar kila kukicha kwa kuchukua hatua madhubuti. Hatua ya kwanza ni kuwasaka wapemba waliotapakaa hapa nchini na kulipiza kisasi kama watanganyika wanavyonyanyaswa huko Zanzibar. Na hatua ya pili ni kutaifisha mali zao kwa maslahi mapana ya umma wa watanganyika.

Nawasilisha.

Hawajaanza Leo kulalamika, wengine wako ukimbizini Uingereza nk Kwa sababu ya Muungano.

Tanzania Bara(Tanganyika) ndio inawalazimisha Wazanzibar kuwa kwenye huu Muungano kama China inavyolazimisha Taiwan japo wenyewe hawataki.

Ni kweli wanaumia maana TRA inakusanya pesa nyingi sana kutoka Zanzibar pamoja na taasisi zingine hasa za Utalii na mambo ya bahari.
 
Muungano upigiwe kura na siyo huu wa kulazimisha
Ukizungumzia Muungano utawasikia wakitoa matamko ya vitisho kama kuna kipindi fulani kulitokea kiazi mmoja akasema "yeyote anayetaka kuvunja muungano basi atavunjika yeye" sasa sijui hawa jamaa wakipata madaraka uwa wanapelekwa kwenye viapo vya kishetani kuahidi kulinda muungano kwa vyovyote vile!
 
Eti sababu za kiusalama kuvunja muungano, hakuna muungano duniani wa kulazimisha kama huu wa kijinga, wananchi hatuutaki
 
Back
Top Bottom