Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 622
- 582
Tanga ne kayaa.
inawezekana ila FatiliaKwahiyo sisi wa nanjilinji uzi hautuhusu?
Mawaal islamic sec ndio habar ya mjiniSiku hizi ushindani wa Popatlal na Jumuia Sekondari naona umeisha
Ipo wapi hiiMawaal islamic sec ndio habar ya mjini
Karibu, watu wa Tanga wamejawa na ukarimu.Kwahiyo sisi wa nanjilinji uzi hautuhusu?
AlmaarufNa wa kwanjeka tupooo
nyuma ya Jumuiya mkabala na zahanat ya NgamianIpo wapi hii
Teeeh!!!! Unaambadze uwe??? We jitire koma na koma zina enyeIam in
From 10 to 21years
Nimekuwa tanga
So Mimi ni ndugu enu bana
Nimewafaidi sana wadigo wanashobo sana kwa wageni
hakuna kama Tanga watanga kote tunatambaTupo mkuu. Tumejazana humu.
Bara ni kinyume cha pwani mkuu. Hata watu wa Mtwara na Lindi ni haki yao kuwaita watu wa Songea "wa-BARA."Eti watu wa Tanga nao wanawaita Watu wa Mikoani ,,wa kutoka Bara", hili lilinishangaza sana, nilifikiri ni msemo wa watu wa Dar tu!
Nipo kaka.Wale wa kisosora mpo?
Bara ni kinyume cha pwani mkuu. Hata watu wa Mtwara na Lindi ni haki yao kuwaita watu wa Songea "wa-BARA."
kama unajua laiti Tanganyika isinge ungana na Zanzibar Basi wilaya ya Pangani ambayo ipo mkoa wa Tanga basi nayo ingekuwa ni zanzibarLkn siyo Tanga yote ni Pwani kama Jiografia yangu iko sawa, nafikiri ni Tanga City tu labda ndiyo wana haki ya kuwaita wengine watoka Bara!