Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

jastertz

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
392
743
Habari Wana JF!

Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
 
Nadhani mkuu hapa anamaanisha kunenepesha halafu auze. Ikiwa una hakika ya kupata vidume vingi kwa wakati mmoja (mf. 50 au 100) basi idea yako iko valid.
Yeah ndo manake.. na ni low cost na mda mfupi ukilinganisha na kuzalisha mwenyew... Tatizowatu wanataka faida kubwa.. hapo unachukua mfano kwa sh 30 unamtunza kwa miezi mitatu unauza kuanzia sh 90 Hadi 200
 
Animal fattening project Karibu Mkata Handeni
 
Yeah ndo manake.. na ni low cost na mda mfupi ukilinganisha na kuzalisha mwenyew... Tatizowatu wanataka faida kubwa.. hapo unachukua mfano kwa sh 30 unamtunza kwa miezi mitatu unauza kuanzia sh 90 Hadi 200
Sio rahisi kama unavyosema. Kwa Tanzania hiinkuuza mbuzi kwa 200,000 kazi sana. Hao ni mbuzi fulani breed ya afrika Kusini inaitwa Boer. Wachinjaji hakuna atakayenunua mbuzi kwa bei hiyo. Labda uwe unawafuga hawa na kuwauza kama mbegu ambapo dume la Boer mmoja linafikia bei ya shs 2m Tanzania. Ingia Facebook kuna habari nyingi za ufugaji wa mbuzi Tz. Na Uganda ingia Ham goat breaders na Bwogi Farms. Utapata habari kede kede za mbuzi.

Mbuzi ukimnunua 30,000 inahitaji miezi 6 au zaidi kumlisha hasa dume. Bado si rahisi kuwapata hao wadogo haraka haraka. Ukitaka raha zalisha mwenyewe. Tena ukitaka unaweza kupangilia ukazalisha kwa ajili ya sikukuu tu. Hasa za Kiiislamu. Mfano. Ukiwa na majike 50. Unayatenga bila dume. Baada ya muda unarudisha dume kundini. Wanapata mimba kwa wakati mmoja. Wanazaa kwa wakati mmoja. Unawauza kwa wakati mmoja.
 
Jamaa ametoa mfano! Unfortunately umetoa maelezo mengi kujibu mfano!
 
sio lazima niuze hiyo 200k ila ikianzia 70k nina hasara gani, kuzalisha mwenyew inaweza kukuchukua mda mrefu jike mpaka litungishe mimba mpaka lizae mpaka niweze kuuza zao huoni ni zaidi ya mwaka na kitu, ila nikiingia zangu ndani ndani nikachukua, hata mikoani we huoni mda ambao ningelisha jike lizae nishauza kama mara mbili.......
Everthing is possible mkuu, masoko yapo mengi tu. na sio lazima nimuuzie mchinjaji wa mtaani, kuna mkampuni, restaurants nk.
Fuga kibiashara.
 
mkuu bonge la idea hata kuanza kuwauza supu ukiwa nao 100...unafuga siku mia unavuna siku mia unapumzika siku mia...maisha ni kuchagua na kuamua...bonge la idea dume mdogo wastani wa juu mchukue 30k..mlishe kwa gharama ya 15k..kwa miezi 4/3 muuze kwa 80k/70k ukiuza supu inazidi hapo..
 
Hii idea nzuri wakati nawaza kuanza ufugaji wa mbuzi hii pia naitazama kwa jicho lingine
 
Sio rahisi kama unavyosema. Kwa Tanzania hiinkuuza mbuzi kwa 200,000 kazi sana. Hao ni mbuzi fulani breed ya afrika Kusini inaitwa Boer. Wachinjaji hakuna atakayenunua mbuzi kwa bei hiyo. Labda uwe unawafuga hawa na kuwauza kama mbegu ambapo dume la Boer mmoja linafikia bei ya shs 2m Tanzania. Ingia Facebook kuna habari nyingi za ufugaji wa mbuzi Tz. Na Uganda ingia Ham goat breaders na Bwogi Farms. Utapata habari kede kede za mbuzi.

Mbuzi ukimnunua 30,000 inahitaji miezi 6 au zaidi kumlisha hasa dume. Bado si rahisi kuwapata hao wadogo haraka haraka. Ukitaka raha zalisha mwenyewe. Tena ukitaka unaweza kupangilia ukazalisha kwa ajili ya sikukuu tu. Hasa za Kiiislamu. Mfano. Ukiwa na majike 50. Unayatenga bila dume. Baada ya muda unarudisha dume kundini. Wanapata mimba kwa wakati mmoja. Wanazaa kwa wakati mmoja. Unawauza kwa wakati mmoja.
bahati mbaya huwa hawapati joto wakati mmoja kila mmoja kivyake , bora uwaachie madume tu halafu knye kuuza uwasubirishe uwauze kwa pamoja
 
Back
Top Bottom