Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Nimeupenda msimamo wako. Hakuna kuogopa kufanya maamuzi magumu bana!

Unakuta mtu mke anagawa tu uroda mpaka mtaa unamuita mume *****...afu ajitetee kuwa ataacha wangapi???

Kuna mwalimu mmoja wa UDSM. Mke wake alikuwa anagawa balaa. Hadi walinzi wale wa UDSM walikuwa wanakula. Ikafikia kipindi hadi watoto wake wakawa wanataniwa na rafiki zao kuwa mama yao ni 'ugawaji'.

Sasa mtu hadi inafikia wanao wanakuwa teased na rafiki zao kisa mkeo hajui kusema 'no' na wewe bado tu upo kwenye hiyo ndoa? Huo ni wehu.
 
please break it down...
naweza kuona najua kumbe sivyo
so hapa waweza saidia wengi pia
Usisahau siku hizi kilatunapojadili MMU issues swala la tafsiri ya maneno linajitokeza

You ain't serious. So, nope. I am not going to waste my time breaking it down for you.
 
Kuna mwalimu mmoja wa UDSM. Mke wake alikuwa anagawa balaa. Hadi walinzi wale wa UDSM walikuwa wanakula. Ikafikia kipindi hadi watoto wake wakawa wanataniwa na rafiki zao kuwa mama yao ni 'ugawaji'.

Sasa mtu hadi inafikia wanao wanakuwa teased na rafiki zao kisa mkeo hajui kusema 'no' na wewe bado tu upo kwenye hiyo ndoa? Huo ni wehu.

Hivi kuna watu wanakumbuka hili shirika la ugawaji?
dah long time mno...

ila point hapa nafikiri sio mke acheat waziwazi na wewe unajifanya hujui..
point ni mume kuchunguza mno while hakuna sababu za waziwazi
 
Mkuu wewe sio mimi na mbinu zako za uwanja wa mapambano si lazima ziwe za kwangu. I want to become a winner at the end of the day. Wewe si uko tough bwan...endelea na safari yako ya uchunguzi. Lakini kwa kusoma tu mistari yako inaelekea hujiamini kwahiyo unatumia misuli kuonyesha kwamba ni mwanaume uliyekamika...wengine wanatumia mengine na kila mtu akae vile anavyotaka awe. Period!

Hahahaaaa haya bana, mimi sijiamini.
 
Hivi kuna watu wanakumbuka hili shirika la ugawaji?
dah long time mno...

Ni sisi tulio watu wazima tu ndo tunakumbuka. Hawa 80s babies hawana hata idea Ugawaji ni nini.

Nakumbuka watu tulikuwaga tunaweka mawe kwenye mstari lol. Ole wake atakayeliondoa. We have come a long way.
 
Hizo ndo enzi mambo ya vitambi kuonekana utajiri yalianza...maana chakula kilikuwa cha mgao (maduka ya ushirika) sasa mwenye kuweza kula hadi cha ziada (kunenepa) alikuwa considered tajiri. Lol.

Ni sisi tulio watu wazima tu ndo tunakumbuka. Hawa 80s babies hawana hata idea Ugawaji ni nini.

Nakumbuka watu tulikuwaga tunaweka mawe kwenye mstari lol. Ole wake atakayeliondoa. We have come a long way.
 
ila point hapa nafikiri sio mke acheat waziwazi na wewe unajifanya hujui..
point ni mume kuchunguza mno while hakuna sababu za waziwazi

Boss, hakuna aliyesema mume amchunguze tu mkewe pasipo na probable cause. Nimeshasema huko nyuma, mume afanyaye hivyo huyo most likely atakuwa anasumbuliwa na paranoid schizophrenia.

Lakini pale ambapo mtu unaona kuna probable cause na wewe huna hata curiosity ya kutaka kujua 'kwa nini' au 'kuna nini' kwa sababu ya hofu ya kuumizwa, hiyo ni cowardice.
 
Hizo ndo enzi mambo ya vitambi kuonekana utajiri yalianza...maana chakula kilikuwa cha mgao (maduka ya ushirika) sasa mwenye kuweza kula hadi cha ziada (kunenepa) alikuwa considered tajiri. Lol.

NyumbaKubwa si hivyo tu
wafanyakazi wa shirika hili walikuwa 'wanaabudiwa mjini'
mimi nawajua waliokuwa 'wanatesaa ile mbaya'
sasa ukioneshwa ndo wale....aibu tupu..
hii nchi tumetoka mbali...
 
Yalikuwa yanaitwa maduka ya Kaya.

Unaongelea wafanyakazi wa RTC? Maana kulikuwa na mashirika mengi tu ya serikali na watu walikuwa mafisadi mwanzo mwisho...mpaka wameua kabisa. Ufisadi ulianza kitambo.

hawa ugawaji shirika lao lilikuwa linaitwa NDC nafikiri bado lipo
head office ilikuwa ambapo now kuna CRDB LUMUMBA....
 
Yalikuwa yanaitwa maduka ya Kaya.

Unaongelea wafanyakazi wa RTC? Maana kulikuwa na mashirika mengi tu ya serikali na watu walikuwa mafisadi mwanzo mwisho...mpaka wameua kabisa. Ufisadi ulianza kitambo.

MADUKA YA KAYA SI MPAKA balozi wa nyumba kumi akupe kadi
.enzi hizo ujumbe wa nyumba kumi dili hadi basi lol
 
Kuna kipindi niliangalia cha Mkasi cha Salama nilibaki nimeduwaaa.

Kuna kijana nadhani anaimba twanga pepeta na alikuwaga mshindi wa BSS before hajajiunga na twanga..

Yani huyu kijana mkewe ana watoto 3 kati ya hao 2 si wake na wote mkewe amechakachua akiwa ndani ya ndoa na huyu kijana.
Na mwenyewe anasema proudly kuwa watoto wote anawachukulia kama wakwake. Mwanamke anayefikia kuzaa watoto wawili nje; mtoto wa kwanza na wa mwisho bado unamuita mkewe??? Kwa utetezi upi??

Hata Salama alipompiga swali nadhani alifikiri kijana atakataa kujibu...lakini ametiririka vizuri mkewe alivyo bingwa wa kuzaa nje. Salama kabaki anashangaa.

Nilimwangalia huyu kijana sikummaliza....kwanza ni very handsome...huyo waifu ana nini kilichomfanya agande???

Tena ni kakake Kongosho (msukuma) nikajiuliza ndio mashemeji zangu wanavyodondokea. Lol.

Hahahaaaa watu wanaogopa kuachana na wenza wao utadhani walizaliwa pamoja.

Swali: utaacha wangapi wewe Kongosho? Unmitigated foolery.
 
sijajua nitaacha wangapi lakini nachojua naweza nina limit.

Kuna wengine hawacheat tena bali wanaona mtaa mzima, barmaids wote wake, mahausi gelo wote wake, wafanyakazi wa saloon na maduka yale ya mtaani wote wake lol

hapo pana utata.

Au mtu anacheat na mtu yaani nikijipima naye naona kanzarau kweli siwezi lol

Hahahaaaa watu wanaogopa kuachana na wenza wao utadhani walizaliwa pamoja.

Swali: utaacha wangapi wewe Kongosho? Unmitigated foolery.
 
Kuna kipindi niliangalia cha Mkasi cha Salama nilibaki nimeduwaaa.

Kuna kijana nadhani anaimba twanga pepeta na alikuwaga mshindi wa BSS before hajajiunga na twanga..

Yani huyu kijana mkewe ana watoto 3 kati ya hao 2 si wake na wote mkewe amechakachua akiwa ndani ya ndoa na huyu kijana.
Na mwenyewe anasema proudly kuwa watoto wote anawachukulia kama wakwake. Mwanamke anayefikia kuzaa watoto wawili nje; mtoto wa kwanza na wa mwisho bado unamuita mkewe??? Kwa utetezi upi??

Hata Salama alipompiga swali nadhani alifikiri kijana atakataa kujibu...lakini ametiririka vizuri mkewe alivyo bingwa wa kuzaa nje. Salama kabaki anashangaa.

Nilimwangalia huyu kijana sikummaliza....kwanza ni very handsome...huyo waifu ana nini kilichomfanya agande???

Tena ni kakake Kongosho (msukuma) nikajiuliza ndio mashemeji zangu wanavyodondokea. Lol.

Huyu hapa na hayo mazungumzo yanaanzia dakika ya 6:31...

Last edited by a moderator:
Babangu alikuwa na cheo sikumbuki cheo gani lakini si mjumbe...sijuhi mwenyekiti wa duka la kaya...basi hatukuwahi kukosa sukari. Yani watu walikuwa na pesa lakini bidhaa za kununua hakuna. Mwl. Nyerere alikuwa na bahati...ingekuwa enzi hizi tungekuwa tumeshatandikana kwa kweli.

MADUKA YA KAYA SI MPAKA balozi wa nyumba kumi akupe kadi
.enzi hizo ujumbe wa nyumba kumi dili hadi basi lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom