MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Ndio maana kuna ASKOFU aliwahi kusema MAWAKILI wetu Ujanja wao wote mwisho ni MAHAKAMA ya KISUTU.
TANZANIA ilishtakiwa Nje ya NCHI na KUSHINDWA KESI na Kutakiwa KULIPA MABILIONI ya FEDHA. Nilitarajia MAWAKILI wetu kwa UMOJA wao wangeshirikiana na MAWAKILI wa SERIKALI kujiunga Pamoja kwenda KUITETEA NCHI ili ISILIPE hayo MABILIONI ambayo yangetumika ktk MIRADI ya kuwaletea MAENDELEO wananchi.Badala ya kufanya hivyo Eti WAKILI 10 Wanataka kufungia KESI Ya KUWASHTAKI Wanaopinga Mkataba wa BANDARI kwa kutumia Lugha isiyo ya Staha.
Najiuliza kwanini KESI yenye TIJA kwa NCHI hawataki kutoa MCHANGO wao?Je wao Mawakili 10 wana Maslahi gani kwa hii Kesi wanayotaka kufungua?
Tufike mahali Mawakili wetu Onyesheni MICHANGO yenu kwa NCHI kwani Mmesomeshwa kwa KODI za Wananchi Masikini Kesi mnayotaka kufungua inazoweza kumalizwa kwa Maongezi acheni kupoteza MUDA wa Mahakama zetu.
NENDENI ULAYA KUIPAMBANIA NCHI msiishie MAHAKAMA za KISUTU.