Wavulana mna matatizo gani??

Yaani naona uvivu hata kuwaza. Ila wanaume wa siku hizi wamekuwa hopeless kama role models wao (baba zao). Kama kijana amekua akimsikia mamake akilalamika kuhenya na ada, chakula and everything while baba anakula na kutoka kama mzingani? Majuzi nililalamikiwa na shosti kuhusu mumewe nikamjambia kazi yako ni kuua hii chain. Mumeo yuko kama babake. Make sure your son comes out differently.

Wababa wa jf, mmekuwaje role models kwa watoto wenu wote wa kike na wa kiume? Unamdharau mkeo, na bintiyo ataona sawa kudharauliwa na bf wake na huku kijana wako akiona ni sawa kumdharau mwanamke. Mna kesi ngumu sana ya kujibu
 
tuanzie kwenye malezi..
ikitokea wazazi mkawa na mtizamo tofauti katika kulea, tatizo linazaliwa..
therefore:
  • wazazi wawe na msimamo wa pamoja katika malezi---ikitoke baba umemwadhibu mtoto kwa kumisbehave then akaenda kwa mama kulalamika, hapo mama unatakiwa kutoa dozi nyingine
  • kama ni single parent na anapenda future ya mwanae wa kiume, a-play your role kum-shape awe wa kiume kwa kushirikiana na ndugu wengine--kama wajomba, shangazi n.k
  • kuwafundisha utamaduni wa kiafrika unaozingatia wakati tulio nao, kupunguza tatizo la utandawazi na neocolonialism
  • kuwaacha watoto wajiexpose na watoto wenzao thru michezo mbalimbali ya kitoto-- (hapa nazungumzia wale wa geti kali VS wale wenzangu na mimi)
  • kama kuna uwezekano wa kufanya seminars kuwafanya wajitambue-- (coz mambo ya jando na unyago siku hizo ndo yanaishia, imebaki bej party na kitchen party tu)
-----
-----
HAYO NDIO YANGU MACHACHE--mnaweza kunikosoa pale ambapo nimebug step

Umeongea kiutu uzima mkuu,

Tunahitaji kuchukua hatua kabla hali haijawa mbaya....

Babu DC!!
 
So sad toto langu nalo linakaa na Mama yake, yani hii inaniumiza akili kweli.

Siwezi kuwa proud kuwa na mtoto wa kiume halafu falafala tu, tangu amezaliwa hata adha ya kutembea kwa mguu kwenda shule haijui wala daladala kwake msamiati.

Nakumbuka tuliosoma private secondary school kipindi chetu jembe na panga zilikuwa ni requirements muhimu sana wakati ukireport form one.

Kipindi cha Agriculture darasani ilikuwa ni dakika 40 tu the rest of day ni kukomaza msuli kwenye shamba la shule. Kweli Mwalimu JK original aliandaa umma.
Hivi mtoto kulelewa na mama vibaya?
 
Hadi wabadilike
Nymbaaaafffffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Bujibuji juzi alileta uzi juu ya kijana mmoja asie na haya....eti anaenda kaa kwa dada yake anayemegwa na mshkaji,,si wachumba na hawajaona,
dogo wa sister anaenda kaa kushuhudia dada yake akila mpini.

Huo ni mfano na iko mingi.. Ifike mahali wazazi wawashauri vijana maisha ya kwenye tamthilia wayaache hukohuko,...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hisani ya snowhite.......!!!!!!!!!!!!!!
snowhite alimuomba Babu Dark City afungue uzi kuhusiana na vivulana kuzidiwa na vibinti ujanja hadi kushindwa kuvishawishi kuvivua kyupi hadi kufikia kuja hapa JF na kulalamika eti dunia imevitenda

Hii ni aibu kubwa sana kwa jinsia ya kiume

Kwa niaba ya Babu DC[ Dark City ] nimeamua kufungua uzi huo ili maombi ya snowhite yatimizwe

Kitu gani kimetokea hadi mapinduzi haya ya kijinga kutokea kwa hivi vivulana vya sasa kuzidiwa kabisa na vibint vya siku hizi?

Soma huu uzi hapa kwa msaada zaidi:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/565670-this-life-is-unfair-why-always-me.html

Haya ni majanga kabisa na ni laana kwa hili kutokea
Nakumbuka enzi hizo hakuna kabinti kalikokuwa kanaweza kuhimili vishindo vyetu,nahisi hii ndio sababu hata vibinti hivyo kuamua kujiridhisha vyenyewe kwa vyenyewe[usagaji] hii nayo ni laana nyingine

Siku mhizi kuna malalamiko mengi sana kuwa vijana hawawaridhishi wanawake,nyakati za nyuma haya hayakuwepo sijui ni shetani gani imeikumba hii jinsia adhimu ya kiume hadi kufikia wanawake kulalamika kiasi

Ki ukweli niliposoma haya malalamiko ya snowhite nimejisikia vibaya sana



uliye chuo



Mungu atusamehe na hii dhambi ya kijinga kabisa kwenye hii jinsia yetu

Hivi vivulana vya leo ni vijana wa kesho ni wanaume wa keshokutwa.hili ni janga

Kuna aina ya muziki ilikuwa sio ya vijana enzi hizo na ilikuwa inapendwa na wanawake lakini siku hizi imebadilika kuwa ni miziki ya hivi vivulana vya sasa,balaa gani hili

Nyakati hizo vijana na wanaume walikuwa wanalelewa kiume hasa na ukionekana una vi tabia vya kike kike kama hivyo basi unaipata

Ndio maana hata mashoga wanaongezeka siku hizi

Au malezi ndio tatizo???????????
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggggggrrrrrhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ukizaliwa mwanamume ukikua ukatoe sadaka ya shukurani kwa MUNGU. sisi wanaume tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU na baadae sana Sir akaamua kututengenezea rafiki kutoka kwenye mwili wetu sisi wenyewe wanaume baada ya kuona tumekaa kiupweke sana! kabla hawajaletwa life ilikuwa safi kinoma hadi SIR alikuwa anakuja kupiga story na Man kule bustanini! mama yangu weeee baada ya HAWA kuja kwani iliisha wiki!! Si akaleta ushauri ulio haribi uhusiano mwema na SIR!!! basi tukatimuliwa aisee na kupewa adhabu ya kupigika na hata kufa aisee! ila na sisi MANS tulikosea pale SIR aliporudi na kuamua kutuuliza ninikimetokea mbona naona mambo yameharibika?? tukajibu SI HUYU MWANAMKE ULIYENIPA! yaani tungeomba msamaha yangeisha siku ile ile na life lingeendelea kuwa safi tu! unajua kuna huyu mwehu anaitwa shetani, alipiga mahesabu sana amuingiliaje MAN aliyekuwa pale bustanini ila alishindwa maana alikuwa akimuangalia yule MAN ni kama anamuona SIR mwenyewe ikabidi apitie kwa HAWA!
Wanaume tumeumbiwa kila aina ya sifa bora, ikiwemo Upole,Ukarimu,Kupenda pasipo unafiki na mengineyo mazuri tu, tatizo linakuja huyu HAWA anapokuwa mawenge kila kitu anataka ajaribu!! atashika tunda hili mara lile mara huku yaani ilimradi tu anahangaika (tamaaa) na hapo ndio panapotokea majuto kwa upande wa mwanamume, ata ADAMU alilalamika mbele ya MUNGU kuhusu kuumizwa na mwanamke maana aliposema SI HUYU MWANAMKE ULIYENIPA, hili ni lalamiko tosha na majuto ya ADAMU kama asingepewa yule HAWA pasingetokea shida. Point yangu ni hivi, Sio kina HAWA wote ni wabaya ila wengi wao ni wahangaikaji sana na mambo yanayochochea kuuharibu upendo. na hayo matunda mnayo hangaika kuyang'ata na kutema mkitafuta lililo tamu zaidi ili uridhike na haja ya ladha tu, mjue yanamalipo yake iko siku utang'ata lenye sumu!
 
Tatizo tamthilia za kifilipino nk ndo zinawaponza, nao wanaiga maisha ya kimaigizo kama hizo tamthilia+malezi
 
Bujibuji juzi alileta uzi juu ya kijana mmoja asie na haya....eti anaenda kaa kwa dada yake anayemegwa na mshkaji,,si wachumba na hawajaona,
dogo wa sister anaenda kaa kushuhudia dada yake akila mpini.

Huo ni mfano na iko mingi.. Ifike mahali wazazi wawashauri vijana maisha ya kwenye tamthilia wayaache hukohuko,...

Yaani hivi vivulana ni janga sana

Siku hizi kakikohoa ndani hata dada yake hashtuki
Enzi hizo ilikuwa baba akiondoka unashika uskan home na hakuna anaekohoa
Siku hizi kavulana kanapewa kichapo na dada yake!!!!!!
 
Back
Top Bottom