kwa hisani ya
snowhite.......!!!!!!!!!!!!!!
snowhite alimuomba babu
dark city afungue uzi kuhusiana na vivulana kuzidiwa na vibinti ujanja hadi kushindwa kuvishawishi kuvivua kyupi hadi kufikia kuja hapa jf na kulalamika eti dunia imevitenda
hii ni aibu kubwa sana kwa jinsia ya kiume
kwa niaba ya babu dc[
dark city ] nimeamua kufungua uzi huo ili maombi ya
snowhite yatimizwe
kitu gani kimetokea hadi mapinduzi haya ya kijinga kutokea kwa hivi vivulana vya sasa kuzidiwa kabisa na vibint vya siku hizi?
Soma huu uzi hapa kwa msaada zaidi:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/565670-this-life-is-unfair-why-always-me.html
haya ni majanga kabisa na ni laana kwa hili kutokea
nakumbuka enzi hizo hakuna kabinti kalikokuwa kanaweza kuhimili vishindo vyetu,nahisi hii ndio sababu hata vibinti hivyo kuamua kujiridhisha vyenyewe kwa vyenyewe[usagaji] hii nayo ni laana nyingine
siku mhizi kuna malalamiko mengi sana kuwa vijana hawawaridhishi wanawake,nyakati za nyuma haya hayakuwepo sijui ni shetani gani imeikumba hii jinsia adhimu ya kiume hadi kufikia wanawake kulalamika kiasi
ki ukweli niliposoma haya malalamiko ya
snowhite nimejisikia vibaya sana
uliye chuo
mungu atusamehe na hii dhambi ya kijinga kabisa kwenye hii jinsia yetu
hivi vivulana vya leo ni vijana wa kesho ni wanaume wa keshokutwa.hili ni janga
kuna aina ya muziki ilikuwa sio ya vijana enzi hizo na ilikuwa inapendwa na wanawake lakini siku hizi imebadilika kuwa ni miziki ya hivi vivulana vya sasa,balaa gani hili
nyakati hizo vijana na wanaume walikuwa wanalelewa kiume hasa na ukionekana una vi tabia vya kike kike kama hivyo basi unaipata
ndio maana hata mashoga wanaongezeka siku hizi
au malezi ndio tatizo???????????
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggggggrrrrrhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!