Wavulana mna matatizo gani??

Wavulana mna matatizo gani??

Shikamoo Serikali...
Zamani zetu wakati mzee wetu mchonga meno akiwa le Prezidaa tulikuwa tunalelewa kiukakamavu sana...nakumbuka kauli mbiu ya bi mkubwa wangu enzi hizo,kwamba utatambua jinsia yako once ukiwa unakoga tu,kwake hakuwa na mtoto mayai!

Nakumbuka enzi hizo almost kila jioni kwenye seek and hide almaarufu kama Kombolela,hapo hata bint awe na shingo ngumu vipi lazima aingie kingi tu...but look...what the've done! Wewe dada unayejifanya wa kisasa,daily kumsifia mwanao wa kiume kwamba amekufanana,na unadiriki hata kwenda one step ahead kwa kumsifia umahiri wake wa kutikisa wesere kama wewe....ptuuuuuh! eti ohh em mwangalieni mwanagu shingo imekatika kama yangu! Na kila mara unamkokota kukusindikiza saluni utadhani mtaani hakuna watoto wa rika lake acheze nao! Hivi kesho ukamkuta anakatikia viuno wanaume wenzie utamlaumu?

Kwa muktadha huu,hii sera ya wavulana kuolewa na wanaume wenzao naona miaka ya usoni itatimia tu...ngojea! Juzi kati mvulana mmoja 'jina linahifadhiwa' almanusura ajikwae akikimbilia duka la dawa kisa kila GF wake akija kwao analegeza macho na kuwa mlegevu,kwa kuwa yeye si expert kwenye haya makitu akadhani labda mtoto kapatwa homa!

Siku hizi kombolela haipo na kama ipo visichana vinawika sana huko!
 
Wanaume wakiwageukia ndio mnaanza kusumbua media "Ohh haki sawa kwa wote, ohh mwanamke ana haki ya kuongea" ndio matokeo yake haya, mmepewa haki ya kuongea sasa mnakataa wanaume, mnataka wawe kama wawe mnaowaona kwenye tv afu sasa mnasema tatizo liko kwa wanaume, NO, tatizo liko pande zote mbili, nijibu hili, Mwanaume akija kwa binti, akamtongoza binti afu binti akagoma, unategemea huyo mwanaume afanye nini?
Tatizo ni kwa jinsia zote mbili nowadays, globalization, internet na TV ndio chanzo kikubwa, like t or not watu walipinga sana tabia za wanaume wa kikurya kumpiga mwanamke hata kama mwanamke kakosea, wanataka mwanaume akae chini na kueleweshana na mwanamke, jua wanawake wengine hawaelewi, mtu hela aliyolipa inamuuma anatandika....
The world is changing, kama mnaona tabia za zamani ni bora kuliko za sasa then do somethin abt t kuzirudisha ila ni kwa boys n girls hakuna exception hata girls wa zamani walikua na heshima kuliko wa sasa unless mnataka wanaume wavunje sheria wawanyoshe wawe na uoga kama zamani...
 
Yaani ka kijana kanakutongoza halafu kanaangalia chini
Utakavulia kweli?

hahahaaaa hii hatari sana lakin ni matatizo tu ya hisia yanasumbua sio kingne tuwasamehe bure
 
Jeshi lilisaidia sana...kufutwa kwa jeshi ndiyo matunda haya...vijana legelege...hata akili imekaa Kilegelege

Wazazi tuendeleze baadhi ya mila na desturi kama jando na unyago..mafundisho ya uko yalisaidia sana kujitambua..

Wazazi tujitahidi kuwa wazazi bora na si bora mzazi...mana siku kisingizio ubusy watoto wanalelewa na dada wa kazi...
 
Ukitoka kwenye uvulana unaingia kwenye ujana kisha kwenye uanaume
Wewe huwezi kuingia kwenye uanaume kabla ya kuingia kwenye ujana!

kwa hiyo kijana ni mvulana au mwanaume?
 
Hakuna aliyesema kuwa ni vibaya
Hata huyo uliyem quote hajasema hivyo

Kuna mambo ambayo kijana hatakiwi kuongozana na mama yake kia wakati
Mtoto wa kiume yuko darasa la tano lakini analilia kwenda sokoni na mama yake...!!!!
Kama hiyoi sio laana basi itakuwa ni zaidi ya laana

Na wewe mama kama unaona sawa utakuwa na mpango wa kifedhuli kwa huyo mtoto wako!!
Leo umekuwa mkali baba Paroko! Kweli wavulana wamekuudhi.
Bandiko lako likalete mabadiliko hasa katika malezi,tunapokosea wazazi turekebishe ili mwisho wa siku watoto wetu wa kiume wakawe wavulana na hatimaye wanaume!
 
mmmhh! uzi huu umenifanya nihisi kuwa siku siku hizi kuna vivulana vya kike na kuna visichana vya kiume.....teh! teh! teh. a stick and 2 balls hanging btn the legs do not make a person a man but his actions and decisions.
 
Ukizaliwa mwanamume ukikua
ukatoe sadaka ya shukurani kwa MUNGU. sisi wanaume tumeumbwa kwa mfano
wa MUNGU na baadae sana Sir akaamua kututengenezea rafiki kutoka kwenye
mwili wetu sisi wenyewe wanaume baada ya kuona tumekaa kiupweke sana!
kabla hawajaletwa life ilikuwa safi kinoma hadi SIR alikuwa anakuja
kupiga story na Man kule bustanini! mama yangu weeee baada ya HAWA kuja
kwani iliisha wiki!! Si akaleta ushauri ulio haribi uhusiano mwema na
SIR!!! basi tukatimuliwa aisee na kupewa adhabu ya kupigika na hata kufa
aisee! ila na sisi MANS tulikosea pale SIR aliporudi na kuamua
kutuuliza ninikimetokea mbona naona mambo yameharibika?? tukajibu SI
HUYU MWANAMKE ULIYENIPA! yaani tungeomba msamaha yangeisha siku ile ile
na life lingeendelea kuwa safi tu! unajua kuna huyu mwehu anaitwa
shetani, alipiga mahesabu sana amuingiliaje MAN aliyekuwa pale bustanini
ila alishindwa maana alikuwa akimuangalia yule MAN ni kama anamuona SIR
mwenyewe ikabidi apitie kwa HAWA!
Wanaume tumeumbiwa kila aina ya sifa bora, ikiwemo Upole,Ukarimu,Kupenda
pasipo unafiki na mengineyo mazuri tu, tatizo linakuja huyu HAWA
anapokuwa mawenge kila kitu anataka ajaribu!! atashika tunda hili mara
lile mara huku yaani ilimradi tu anahangaika (tamaaa) na hapo ndio
panapotokea majuto kwa upande wa mwanamume, ata ADAMU alilalamika mbele
ya MUNGU kuhusu kuumizwa na mwanamke maana aliposema SI HUYU MWANAMKE
ULIYENIPA, hili ni lalamiko tosha na majuto ya ADAMU kama asingepewa
yule HAWA pasingetokea shida. Point yangu ni hivi, Sio kina HAWA wote ni
wabaya ila wengi wao ni wahangaikaji sana na mambo yanayochochea
kuuharibu upendo. na hayo matunda mnayo hangaika kuyang'ata na kutema
mkitafuta lililo tamu zaidi ili uridhike na haja ya ladha tu, mjue
yanamalipo yake iko siku utang'ata lenye sumu!

Mkuu Dublin, umegonga shule ya hatareeee. Full respect.
 
Last edited by a moderator:
Leo umekuwa mkali baba Paroko! Kweli wavulana wamekuudhi.
Bandiko lako likalete mabadiliko hasa katika malezi,tunapokosea wazazi turekebishe ili mwisho wa siku watoto wetu wa kiume wakawe wavulana na hatimaye wanaume!

Yaani hivi vitoto vimeniudhi sana
We acha tu!!
 
Wacheze kombolela na playstations wamuachie nani?

Haya bana

Lakini sisi tulikuwa tunalima na kuchunga ng'ombe
Mambo yaliyokuwa yanatuhamasisha sana kuujua utamabora [sio utamaduni] wetu

Sisemi hizo sijui plei stesheni ni mbaya ila wazazi wafikirie sana kuhusu hili!!!!
 
Jeshi lilisaidia sana...kufutwa kwa jeshi ndiyo matunda haya...vijana legelege...hata akili imekaa Kilegelege

Wazazi tuendeleze baadhi ya mila na desturi kama jando na unyago..mafundisho ya uko yalisaidia sana kujitambua..

Wazazi tujitahidi kuwa wazazi bora na si bora mzazi...mana siku kisingizio ubusy watoto wanalelewa na dada wa kazi...

Siku hizi huwezi hata kujua tofauti ya adhabu kati ya adhabu ya mtoto wa kike na ya mtoto wa kiume!
 
hahahaaaa hii hatari sana lakin ni matatizo tu ya hisia yanasumbua sio kingne tuwasamehe bure

Manka maamka!!!!

Hakuna cha kuwasamehe hapa hadi kieleweke
Hatuwezi kuwaacha mkiwa viongozi kwenye majukumu ya kiume!!!!!!!
 
Wanaume wakiwageukia ndio mnaanza kusumbua media "Ohh haki sawa kwa wote, ohh mwanamke ana haki ya kuongea" ndio matokeo yake haya, mmepewa haki ya kuongea sasa mnakataa wanaume, mnataka wawe kama wawe mnaowaona kwenye tv afu sasa mnasema tatizo liko kwa wanaume, NO, tatizo liko pande zote mbili, nijibu hili, Mwanaume akija kwa binti, akamtongoza binti afu binti akagoma, unategemea huyo mwanaume afanye nini?
Tatizo ni kwa jinsia zote mbili nowadays, globalization, internet na TV ndio chanzo kikubwa, like t or not watu walipinga sana tabia za wanaume wa kikurya kumpiga mwanamke hata kama mwanamke kakosea, wanataka mwanaume akae chini na kueleweshana na mwanamke, jua wanawake wengine hawaelewi, mtu hela aliyolipa inamuuma anatandika....
The world is changing, kama mnaona tabia za zamani ni bora kuliko za sasa then do somethin abt t kuzirudisha ila ni kwa boys n girls hakuna exception hata girls wa zamani walikua na heshima kuliko wa sasa unless mnataka wanaume wavunje sheria wawanyoshe wawe na uoga kama zamani...

Mwanamke anastahili haki
Lakini haki za kibazazi kama hizo za kumtawala mume hazikubaliki,hapa ni Africa for Gods sake!
 
Yaani hivi vitoto vimeniudhi sana
We acha tu!!

Kuna mwingine kajiua huko kisa mpenzi amefanya shopping ya X-mass for 5hrs na hana mpango wa kumaliza!
Wanaume wana mauza uza!!
 
Mwanamke anastahili haki
Lakini haki za kibazazi kama hizo za kumtawala mume hazikubaliki,hapa ni Africa for Gods sake!

Kwani mwanaume asitawaliwe yeye nani? Hao wa zamani mnaowasifu walikuwa vichwa kweli,walifahamu majukumu yao na kuyatekeleza. Nowadays kuna wanaume hata ugali wanaokula wanae hajui unatoka wapi kisa mkewe ana kazi.
Kama u Africa ni kumkandamiza mwanamke basi wengine tutahama bara
 
Back
Top Bottom