Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
- Thread starter
- #21
dunia imebadilika kaka.....sasa mtu anakaa upanga anasoma tambaza/azania km nane atatembea vipi??malezi ndio muhimu sio kutembea km 8 wala kuchimba visiki....kuna watu wamekulia ushuani lakini ni wanaume ngangari tu....malezi ndio muhimu
Kila nyakati zina mambo ya kimalezi yanayomfanya mtu akajengeka kwa mujibu wa jinsia yake
Nyakati hizo hayo ndio yalikuwa baadhi ya mambo ya kumfanya kijana nwe imara
Hata leo yapo sana ya kumfanya kijana awe imara
Au huzijui?
Kama huzijui na wewe unaweza kuwa sehemu ya tatizo!