Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Haki sawa.
Haki sawa ya kuangamiza kizazi ina umuhimu gani mkuu??
Babu DC!!
Haki sawa.
Yaani naona uvivu hata kuwaza. Ila wanaume wa siku hizi wamekuwa hopeless kama role models wao (baba zao). Kama kijana amekua akimsikia mamake akilalamika kuhenya na ada, chakula and everything while baba anakula na kutoka kama mzingani? Majuzi nililalamikiwa na shosti kuhusu mumewe nikamjambia kazi yako ni kuua hii chain. Mumeo yuko kama babake. Make sure your son comes out differently.
Wababa wa jf, mmekuwaje role models kwa watoto wenu wote wa kike na wa kiume? Unamdharau mkeo, na bintiyo ataona sawa kudharauliwa na bf wake na huku kijana wako akiona ni sawa kumdharau mwanamke. Mna kesi ngumu sana ya kujibu
Bujibuji juzi alileta uzi juu ya kijana mmoja asie na haya....eti anaenda kaa kwa dada yake anayemegwa na mshkaji,,si wachumba na hawajaona,
dogo wa sister anaenda kaa kushuhudia dada yake akila mpini.
Huo ni mfano na iko mingi.. Ifike mahali wazazi wawashauri vijana maisha ya kwenye tamthilia wayaache hukohuko,...
Hivi mtoto kulelewa na mama vibaya?
Na hizo haki zao ziishie huko huko!!!!!!!
Hakuna aliyesema kuwa ni vibaya
Hata huyo uliyem quote hajasema hivyo
Kuna mambo ambayo kijana hatakiwi kuongozana na mama yake kia wakati
Mtoto wa kiume yuko darasa la tano lakini analilia kwenda sokoni na mama yake...!!!!
Kama hiyoi sio laana basi itakuwa ni zaidi ya laana
Na wewe mama kama unaona sawa utakuwa na mpango wa kifedhuli kwa huyo mtoto wako!!
Tunahitaki kubalance information mkuu.....
Hata enzi zetu tulitumwa sana sokoni...ila tulienda na wazee wetu ili tukajifunze kubargain badala ya kwenda kuomba vitu kama zile story za kwenye wimbo wa mpemba....
Kwa hiyo, watoto wa kiume wanaweza kufanya kazi za aina zote (mimi sijui kama kuna kitu sikifahamu) ila wafanye katika misingi ya kidume dume....
Siyo toto la kiume nalo linataka kukaangiza limekaa kwenye kigoda....
Babu DC!!
Siku hizi ulegevu wameupa jina wanaita sharobalo sasa unategemea nini. Kijana hajiwezi hata kunyanyua ndoo ya maji. Malezi yanachangia kwa kiasi kikubwa sana tumemodenaizi kila kitu kiasi kwamba mengine hata wazungu hawayafanyi. Hushangai mtoto wa kiume anaamka saa mbili na baada ya hapo yuko fb habari hapati , hajiwezi hata kuchukua jembe aondoe majani machache yaliyoko uwanjani anangoja dada wa kazi afanye hayo. Huko mbele watapigwa mpaka makofi hawa.
Kweli mkuu,
Hivi mtu utajisikiaje ukikuta toto lako liko linachezewa na kabinti pale mtaani kwako??
You feel like ukalinyonge....
Enzi zetu baba akibahatisha kukuona unamwaga sera kwa kibinti cha jirani yenu anakimbia nyumbani kumsimulia mke wake na kutamba alivyotema cheche kwa kuleta kidume duniani....
Yaani wazazi wa vitoto vya leo wamebeba majanga matupu aisee....
Babu DC!!