Wanaume wambea wanazidi kuongezeka kwa kasi ya 5G

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Pamoja na kwamba umbea wameumbiwa wanawake kwakuwa inasemwa hawana vifua vya kuhifadhi mambo na makoromea na kuzuia vitu visitoke nje ya mdomo lakini hiyo dhana inatoweka kwa kasi ya ajabu.. Wanaume wa kileo (sio wote) ni wambea mpaka inakera kama sio kutia aibu ama kinyaa

Case studies ni mitandao ya kijamii, online TVs na blogs ambazo nyingi wamiliki na waandishi wake ni vijana wa kiume.. Ukiingia huko utagundua kuna tatizo kubwa na linakuwa kwa kasi ya ajabu Tumetoka kwenye zama za kujipodoa vijana wa kiume hili sasa limeshazoeleka sio ajabu tena!
Tumetoka kwenye zama za vijana wa kiume kuvaa kike, kutoka masikio, pua, midomo, ndimi na vitovu hili nalo limeshazoeleka si ajabu tena!

Kuna hii enzi ya ushoga pamoja na ukakasi mkubwa wa hili jambo lakini taratibu jamii inaanza kulipokea na kulizoea japo kwa shingo upande na kwa kificho. Hata mapenzi ya siku hizi yana maajabu yake.. Zile dirdo hazitumiwi na wanawake tuu wale wanaosagana bali hutumiwa na wanawake kwa wapenzi wao wa kiume. Kuna mabadiliko makubwa sana ya vinasaba, na haya yanajitokeza zaidi kwa vijana wetu wa kike na wa kiume! Wanaume wa kike siku hizi ni wengi kuliko wanaume wa kiume!

Uvumilivu wa jamii kwenye hayo mambo hapo juu ndio umezaa haya matokeo ya wanaume kuwa wambea..
Mtu anayebadili dini huwa mkali zaidi ya wenye dini yao! Ogopa sana mwanaume akiwa mmbea!

Makuzi na utandawazi, elimu ya jinsia( jando na unyago) iliyopewa kisogo, elimu ya utambuzi isiyopewa umuhimu, kuiga na kutamani kujaribu vyaweza kuwa sababu kuu ya haya matokeo
Pamoja na uhuru tulionao wa kuandika chochote alimradi tu usivunje taratibu na kanuni za jukwaa lakini kuna post nyingi sana zimeandikwa na vijana wa kiume mtu ukiziona unaona hata aibu kuzisoma! Na nyingine zinatia kinyaa kwakweli

Sisi kama wazazi na wazazi tarajiwa natoa rai tuwajenge vijana wetu katika njia sahihi za kimaisha kulingana na jinsia zao. Tuwakemee waziwazi na kuwaonya kwamba hilo halipaswi kufanywa na wewe kutokana na jinsia yako! Lakini tusiishie hapo tu bali tuwajenge kulingana na jinsia zao ili wasije kujuta tukiwa hai uzeeni tukajuta nao ama tukiwa hatupo tena!

Riep warumi
JamiiForums1963208479.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwamba umbea wameumbiwa wanawake kwakuwa inasemwa hawana vifua vya kuhifadhi mambo na makoromea na kuzuia vitu visitoke nje ya mdomo lakini hiyo dhana inatoweka kwa kasi ya ajabu.. Wanaume wa kileo (sio wote) ni wambea mpaka inakera kama sio kutia aibu ama kinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja ila picha kwanini iwe ya kijani na njano?
 
Pamoja na kwamba umbea wameumbiwa wanawake kwakuwa inasemwa hawana vifua vya kuhifadhi mambo na makoromea na kuzuia vitu visitoke nje ya mdomo lakini hiyo dhana inatoweka kwa kasi ya ajabu.. Wanaume wa kileo (sio wote) ni wambea mpaka inakera kama sio kutia aibu ama kinyaa

Case studies ni mitandao ya kijamii, online TVs na blogs ambazo nyingi wamiliki na waandishi wake ni vijana wa kiume.. Ukiingia huko utagundua kuna tatizo kubwa na linakuwa kwa kasi ya ajabu
Tumetoka kwenye zama za kujipodoa vijana wa kiume hili sasa limeshazoeleka sio ajabu tena!
Tumetoka kwenye zama za vijana wa kiume kuvaa kike, kutoka masikio, pua, midomo, ndimi na vitovu hili nalo limeshazoeleka si ajabu tena!
Kuna hii enzi ya ushoga pamoja na ukakasi mkubwa wa hili jambo lakini taratibu jamii inaanza kulipokea na kulizoea japo kwa shingo upande na kwa kificho
Hata mapenzi ya siku hizi yana maajabu yake.. Zile dirdo hazitumiwi na wanawake tuu wale wanaosagana bali hutumiwa na wanawake kwa wapenzi wao wa kiume
Kuna mabadiliko makubwa sana ya vinasaba, na haya yanajitokeza zaidi kwa vijana wetu wa kike na wa kiume! Wanaume wa kike siku hizi ni wengi kuliko wanaume wa kiume!

Uvumilivu wa jamii kwenye hayo mambo hapo juu ndio umezaa haya matokeo ya wanaume kuwa wambea..
Mtu anayebadili dini huwa mkali zaidi ya wenye dini yao! Ogopa sana mwanaume akiwa mmbea!

Makuzi na utandawazi, elimu ya jinsia( jando na unyago) iliyopewa kisogo, elimu ya utambuzi isiyopewa umuhimu, kuiga na kutamani kujaribu vyaweza kuwa sababu kuu ya haya matokeo
Pamoja na uhuru tulionao wa kuandika chochote alimradi tu usivunje taratibu na kanuni za jukwaa lakini kuna post nyingi sana zimeandikwa na vijana wa kiume mtu ukiziona unaona hata aibu kuzisoma! Na nyingine zinatia kinyaa kwakweli

Sisi kama wazazi na wazazi tarajiwa natoa rai tuwajenge vijana wetu katika njia sahihi za kimaisha kulingana na jinsia zao
Tuwakemee waziwazi na kuwaonya kwamba hilo halipaswi kufanywa na wewe kutokana na jinsia yako! Lakini tusiishie hapo tu bali tuwajenge kulingana na jinsia zao ili wasije kujuta tukiwa hai uzeeni tukajuta nao ama tukiwa hatupo tena!

Riep warumi View attachment 2768189

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom