Unakataa ndoa wakati ulipatikana kwa tendo la ndoa!

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
534
1,746
Unajua hii nchi tatizo la msongo wa mawazo limewakumbuka wengi sana eti mtu anasema kataa ndoa wakati yeye tu kupatikana kwake ni moja ya tendo linalo unga ndoa.

Au mwenzetu ulichanganywa maabara we mtoto wa kiume kabisa ulie komaa eti kataa ndoa ilikukosea nini ndoa.

Eti ndoa ni utapeli mwenzetu umetapeliwa nini usije ukawa hauna nguvu za kiume ndio unatuletea hapa Mada za kataa ndoa.

Sisi kijijini kwetu ukisema kataa ndoa halafu ni jinsia ya kiume unapigwa mawe acheni utoto badilikeni pumbavu.

Ukizeeka ndio utajua umuhimu wa ndoa na watoto ulio wapata ukiwa katika ndoa.

images%20(66).jpg
 
Mtoa mada ako stressed
 
Ni kwamba mtu anayekataa ndoa watoto wake hawatapatikana ndani ya ndoa, atazaa tu na mwanamke au wanawake bila ndoa. Pengine na yeye alizaliwa tu bila ndoa, Mbwa, Paka, ng'ombe hawafungi ndoa na wanazaana hivyo hata kwa binadamu Inawezekana japo si njia ambayo wazee wetu waliitumia na mm nisingependa watoto wangu wala wajukuu kuitumia ila ndo jamii ishafika hapa.
 
Unajua hii nchi tatizo la msongo wa mawazo limewakumbuka wengi sana eti mtu anasema kataa ndoa wakati yeye tu kupatikana kwake ni moja ya tendo linalo unga ndoa.

Au mwenzetu ulichanganywa maabara we mtoto wa kiume kabisa ulie komaa eti kataa ndoa ilikukosea nini ndoa.

Eti ndoa ni utapeli mwenzetu umetapeliwa nini usije ukawa hauna nguvu za kiume ndio unatuletea hapa Mada za kataa ndoa.

Sisi kijijini kwetu ukisema kataa ndoa halafu ni jinsia ya kiume unapigwa mawe acheni utoto badilikeni pumbavu.

Ukizeeka ndio utajua umuhimu wa ndoa na watoto ulio wapata ukiwa katika ndoa.
Siyo watu wote walitokana na tendo la ndoa.
 
We nawe unashindwa kuelewa wenzako wanamaanisha nini wanavyosema "KATAA NDOA" usikurupuke shehe

Elewa neno NDOA , hawajakaa kuishi na mwanamke...hawataki kuhalalisha

Mwanamke akishaona ana cheti tu cha ndoa tayali ni tatizo

dronedrake si ajabu yupo kwenye uchumba sugu huu mwaka wa 20
 
Kwa wenye mtazamo kama wako waambie wakajifunze tena maana ya ndoa kisheria. Kwamba, ikija case ndoa haitaangalia cheti bali itaangalia intention katika kuishi kwenu pamoja plus muda mlioishi pamoja.
 
Mzee hatutaki ndoa.Alafu nani kakwambia watu wote humu duniani wamepatikana kwa tendo la ndoa ..hao tayari wameoana wengine ni kunjunjana tuu mtoto kazaliwa hatuwezi kuita tendo la ndoa ...

TUKO PALE PALE KATAA NDOA NI UTAPELI
 
Back
Top Bottom