Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Haya bana
Lakini sisi tulikuwa tunalima na kuchunga ng'ombe
Mambo yaliyokuwa yanatuhamasisha sana kuujua utamabora [sio utamaduni] wetu
Sisemi hizo sijui plei stesheni ni mbaya ila wazazi wafikirie sana kuhusu hili!!!!
Siku hizi tunawapenda(?) mno watoto wetu,tunatamani kuwaona muda wote wanafanya wanayofurahia bila kukarahishwa hata na yaliyo muhimu kwao.
'Parents,Too Much Love is Poison'