Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Okay nimekupata.
_____________
Hii ni Gari aina ya Jeep Grand Cherokee ya Kimarekani yenye thamani ya zaidi ya milioni 90 za Kitanznaia mpya kabisa yaani 0 km iliyonunuliwa na dada Huyu Blandina Njau kama wiki sita zilizopita naye anafanya biashara hii ya Forever Living.
Atleast hii kutangaza mafanikio ni nzuri, naweza kuwa na interest za kuuliza zaidi
Kuliko kuniita mbali ninywe mirinda unioneshe hizo forever sio ustaarabu kabisa
 
Forever living. Wanajitahidi mungu anawaona atawapa njia kazaneni maana dunia ndo katka vtabu waliandika mtakula kwa jasho.
Amen
 
Labda wewe hawajalkukwaza mm walishanikwaza nikawachukia hata mtu a niambie amenunua chopa sitaki kusikia hiyo Mikitu, gnld bla bla
Kuna mtu online alianza hivo kama una laki mbili, njoo tufanye biashara bla bla faida mara mbili nikauliza akaniambia njoo whatsapp, nikaenda akaniunganisha na mtu mwingine, huyo mtu akatuma video anajieleza Daaah nlichoka
Hayo yote ya nini, kwanini asingekua straight tu kuwa ni biashara yake forever niamue yes or no
 
Sihudhurii semina kama haina vipeperushi ntakavyosoma na kuvielewa kwanza. ...

Mambo ya kubebana kama mbuzi kwenye gunia, nimekataa
 
Kunamkenya mmoja fb alinifta mi nikajua ni mchongo wa maana kumbe ni ujinga wa forever..ni anatuma vipeperushi na ma quote yao kwenye pm yangu balaaa
 
Kunamkenya mmoja fb alinifta mi nikajua ni mchongo wa maana kumbe ni ujinga wa forever..ni anatuma vipeperushi na ma quote yao kwenye pm yangu balaaa
Yani badala ufurahie biashara unakaa umenuna teh wakasome hii mbinu yao ujinga mtupu
 
huo mfano wa tatu yashanikuta... unatumiwa video kuna mdada anaongea mafanikia aliyoyapta .. mpaka mwisho anataja forever living! ... mimi nlijua biashara ya maana!!!
 
Back
Top Bottom