WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
Hey! Why so arrogant! Kenyan! What have you done to poor people of syokimau? It's known 'mathare' is the largest slum in africa. Kibera also. Your large urban population is found in those slums. In stead of helping them you're planning to demolish their dwellings. To hell with wenye roho mbaya.

Syokimau kama bomoa bomoa ya Ubungo. Wonder what went wrong?
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Lolz@mungiki this who had all her expectations crushed.
Aisee tunachukia sana nyang'au kwa sababu kazi hizo za expatriate mnazoweza kwa umahiri ni UJAMBAZI na UIVI WA MIFUGO, na prostitutes.
 
sasa nyie kama mnaona sisi twafanya kazi bila permit mbona hamtufukuzi?mnazidi kutaka sisi tulete ndugu zetu hapa kwa kuwa nyie hamtaki kazi,nyie mwapenda kukaa vibarazani na kucheza bao kila siku,kazi zinawashinda,sasa mimi nimeitwa kuja kufanya kazi tz na mshahara wangu utakuwa mkubwa sana,ninarudi early january
Wacheza bao mbona hata Mombasa wapo?

Acha ujinga.
 
Kuwa makini na Kauli zako mkuu siku moja zitakuponza.Kwann unatukashifu wa watanzania kwa rejeo la hayo unayoita mapungufu ya mtu mmoja?Take care
nyie watz inaonekana hamuwezi kufanya socialize na watu kutoka nchi zingine,mna aibu sana,halafu mnapenda sana kujiona nyie mko na roho nzuri,lakini umaskini wenu wa akili utawaletea umaskini sana
 
Uncle wacha nikupinge kidogo hapo, watu wa roho mbaya wapo kote kote... Au hujakutana nao hata humu jamvini?
Maybe niseme wakatili.

Hata hao askari wao, wetu ni nafuu, in terms of lesser evil...

Hata hivyo Tanzania somewhat is slowly moving towards that direction, mostly udini kuna wanaouchochea kwa nguvu zote.
 
wanadai kihistoria mlima kilimanjaro ulikuwa wakwao ila malkia aliutoa zawadi kwa harusi ya mwanawe.

Ndio maana hata ramani imepinda pale karibu na mlima kuukwepesha uingie tz.
Mimi sielewi historia ya huu Mlima, lakini kisheria na kimantiki, kama kuna mtu amekunyang'anya (hapa Malkia) adai kwa yule, sio unakuja kunidai mimi zawadi nilopewa. Kama umeibiwa, kamata mwizi, sio aliyenunua. Huyu anaweza kukusaidia tu kujua mwizi wako.
 
Jamani huyu Kenyata ningependa kuonana nae, ivi kweli anadiriki kutuita wapumbavu nchini kwetu? sasa pamoja na wageni wengine wanahitaji kushughulikiwa naona, tuwafanyie kama south africa wanavyowachinja. Pumbavu zako Kenyata na wenzako wote kama wewe
 
hapo sijakuelewa,mbona wakenya wengi company zao zipo tanzania kama investors lakini kenya hakuna company za watanzania

Soko la ndani ya nchi linatutosha hatuhitaji FDIs mbuzi wwa njano ww. Nenda kenyan list huko kwa kuku wenu wa maziwa.
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys


Hehehehe Nyani siku zote haoni kundule...Kwani nyie mnatupenda Wabongo!? Mara ngapi mmeshafukuza Wabongo wanaoishi Kenya tena bila hata kuwaruhusu wachukue mali zao?....au ndio kupenda kwenu Wakenya? Halafu usijipe kichwa kwamba mmetuzidi katika lolote lile. Kama mmetuzidi basi mngekaa kwenu na siyo kuja kutafuta ajira Tanganyika.
 
Kenyata next tym b careful haya uliyoyasema hapa usijaribu kuyasema hadharani utatemeshwa moyo..nawsh 2mit face2face, ukija tz nitafute nitakupa darasa la jinsi ya kuishi na watz coz nina wasiwasi na usomi wako
 
Shame on yourself. Wewe akili yako ulitegemea ujifunze nn kwa lugha yako wa kebehi na majivuno. Nenda kajifunze ustaarabu kwanza ndipo utakapogundua kwamba unazoongea ni pumba tupu. Mmeshindwa kupendana wenyewe, halafu unataka kupendwa na wa-TZ. Mwelevu hujisafisha mwenyewe ndipo humfundisha jirani. I hate prideous people because they have nothing new more than majungu yasiyokuwa na tija.
 
Wewe unakuja tz unataka kuleta ukenya wako ndo tatizo lilipo. Fuata taratibu za wenyeji. Nimefanya nao kazi wengi, wanajifanya wajuaji wakati hakuna lolote. Wako radhi kufanya kazi kwa bei cheeee ilimradi anapata ndo mambo ambayo wa south african wanayapinga. bado kidogo tutaanza kuwatafuta mitaani na kuwafunza adabu.
 
Hehehehe Nyani siku zote haoni kundule...Kwani nyie mnatupenda Wabongo!? Mara ngapi mmeshafukuza Wabongo wanaoishi Kenya tena bila hata kuwaruhusu wachukue mali zao?....au ndio kupenda kwenu Wakenya? Halafu usijipe kichwa kwamba mmetuzidi katika lolote lile. Kama mmetuzidi basi mngekaa kwenu na siyo kuja kutafuta ajira Tanganyika.

Mpumbavu sana huyu Kenyata hewa. Hawa ndo wanatafutwa na Cameroon.
 
nimejua kweli watz wajinga,mbona mwatetea sana ujinga,mimi nilitaka kujua kwa nini hamtupendi,wakenya wengi wakija tz wana coplein kuhusu tabia zenu,maendeleo ya east africa yataletwa na wote,acheni kufanya hivyo
 
kenya ina uchumi mzuri lakini unamilikiwa na ma-settlers wa kingereza.hali ni mbaya sana kwa weusi wanaoishi kenya.naweza kusema kenya ni sehemu ya united kingdom ingawa kwa siku za karibuni wamekuwa wanajipendekeza kwa marekani.wakenya wengi wana elimu fupi na wengi wao ni mafundi mchundo.ukitaka wataalamu(proffesionals) njoo tanzania lakini ukitaka vibarua(labourers) nenda kenya.siamini kama muanzisha thread ni mkenya,kama ni mkenya naona hajui historia ya tanzania katika kuleta ukombozi afrika.naona dhihaka na chokochoko zimezidi,hii itashawishi tanzania kuwavamia kijeshi na kuweka kiongozi tunayemtaka(uwezo tunao)
naishia hapa kwa sasa lakini niweke msimamo wangu kuwa sioni haja wala faida ya kuwa na shirikisho lenye wakenya ndani yake.
 
nimejua kweli watz wajinga,mbona mwatetea sana ujinga,mimi nilitaka kujua kwa nini hamtupendi,wakenya wengi wakija tz wana coplein kuhusu tabia zenu,maendeleo ya east africa yataletwa na wote,acheni kufanya hivyo

coplein = ??????
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom