WaTZ Mbona hampendi wakenya?

WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
hapo sijakuelewa,mbona wakenya wengi company zao zipo tanzania kama investors lakini kenya hakuna company za watanzania
hapo ndipo hutaelewa!
watanzania watainvest nini kenya nchi iliyobaki mifupa? na kwa huo ubaguzi wenu na ukabila the workin environment is not inviting!
Je huoni mbona kenyans are not working or investing in somalia?
 
Walijipendekeza sana kwa Obama wakafikiri ataukumbatia ukabila wao!
Walikua hawajui kwamba Obama alishawashtukia tangu alipokuwa mdogo, ha ha ha ha! Wakenya wanachekesha. Vita vya al-Shabaab vimewashinda na sasa wanajaribu kuwageuzia waTZ!
 
Walikua hawajui kwamba Obama alishawashtukia tangu alipokuwa mdogo, ha ha ha ha! Wakenya wanachekesha. Vita vya al-Shabaab vimewashinda na sasa wanajaribu kuwageuzia waTZ!

Al shabab can bully the Somalian people, but they can't bully the Kenyan people specially their military who the man power
 
...nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla...
Jomo Kenyatta angekuwa ana akili ya kishoga (gayish mentality) kama yako nakuhakikishia Kenya isingepata uhuru hadi leo. Utajiitaje kenyata wakati wewe ni gay?
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u

mbona unjichanganya sana?mara watanzania hawawapendi huku unakiri kuwa na rafiki wa kitz.kweli njia ya mwongo ni fupi!
 
mbona unjichanganya sana?mara watanzania hawawapendi huku unakiri kuwa na rafiki wa kitz.kweli njia ya mwongo ni fupi!

huyu ndio kanisaidia kukaa tz,mbona wenyewe waitaji manpower from kenya lakini wengine wakataa hiyo sio nzuri
 
Kenyata or kenyatta ni mtz mwenye agenda ya siri. Kingereza kimekupiga chenga kweli.
 
Kenyata or kenyatta ni mtz mwenye agenda ya siri. Kingereza kimekupiga chenga kweli.

mkuu wakenya wasiojua engilish wapo kibao tunaishi nao,halafu wale wanaotokea mombasa karibu na waja leo waondoka leo wanajua na kuandika swahili kama sisi
 
Ukitaka kujua watz ni wamoja chokoza utaifa wao! Haijalishi ni kabila gan au dini gani...mikenya bhana yan hicho kiingereza mbuzi ndo kinawafanya muwe juu?..Miaka mitano ijayo hamtakanyaga tz tena!!!
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys

Ni kweli hatuwapendi manyang'au! Na sio lazima tuwape sababu, msilazimishe mapenzi!
 
hapo ndipo hutaelewa!
watanzania watainvest nini kenya nchi iliyobaki mifupa? na kwa huo ubaguzi wenu na ukabila the workin environment is not inviting!
Je huoni mbona kenyans are not working or investing in somalia?

Kwenye elimu ya kukaa darasani na kuelewa tumewapita mbali sana! mi nimesoma kozi moja ya juu na watu wa nchi zote ambazo mto Nile unapita pamoja na SADC members! wakenya walikua wanashinda kwa walimu kuomba maksi za mezani! watu ambao niliweza kuona kweli wazuri ni Wazimbabwe na kama anabisha nitatoa results hapa nyang'au wakenya tuliwaacha mbali.

Najamani Tanzania yetu tumeletewa ujambazi wa silaha na hawa nyang'au awafai kabisa, arafu ukirudi kweni mwambie kaka yako alete kodi ya nyumba yangu asilete usanii hapa! amekaa bila kulipa kodi baada ya kuona anaulizwa kasema ati anamatatizo kwao kenya mwambie nitamfungia hukohuko kama hatalipa.
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu

Mpaka hapo umejionyesha rangi yako harisi,huana lolote ulitaka akupaparukie?we unaumwa nini? Nyie ndio mnaongoza kwa roho mbaya EAST AFRICA nzima,mijitu ina roho mbaya hata kwa ndugu zao,peleka huko mkono wako wa sweta alaa.
 
Kenyata anatafuta upopularity humu Jf, and what a better way than to provoke wenyeji! Congrats buddy, u have 2 hrs of fame in JF, now be a gentleman and apologize!
 
rafiki yangu mtz kanionyesha hii site,lakini sijapenda member wake wanavyojibu hoja hapa,sioni kama naweza jifunza kitu hapa zaidi ya chuki,shame on u

Chuki?:A S 13::A S 13:... Wewe unatukana watu kisha wakunyamazie? Ama kweli wakenya wamefilisika kiakili..
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Huko kwenu mmekwisha pendana ? Au umeamua kuja kutukana humu ? Watoto wa Tz wanabembelezwa, kama ulitegemea kiburi chako kikupe mrembo umechemka ! Huku hata barmaid anaombwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom