WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
learn to give people chance to socialize

You got a chance and you blew it up...!.. Or may be I dont understand the Kenyan way of Socializing. Is approaching a woman you dont even know, then snapping your fingers and expecting her to take off her pants.... Is that what you call "socializing"?..
Or, come to that, is barging into internet Social sites, and starting to insist that Local Residents have low education, is that the Kenyan way of socializing?.. If it is , please keep it. We are not interested.:A S-frusty:
 
You got a chance and you blew it up...!.. Or may be I dont understand the Kenyan way of Socializing. Is approaching a woman you dont even know, then snapping your fingers and expecting her to take off her pants.... Is that what you call "socializing"?..
Hii inadhihirisha wazi wakenya hawajui kutongoza. Jamaa kajileta mwenyewe!
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys

Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri, yaani kwasababu mwanamke mmoja wa kitanzania amekukataa basi unakurupuka na kusema watanzania hawapendi wakenya? Hivi ni hadi mtu akupende wewe as a person ndio ujue kama wakenya wanapendwa?
 
Pamoja na small number ya wasomi tulonayo...but ktk hali halisi inaonyesha Mtz mmoja msomi ni sawa na wakenya 2...wakenya hupenda kujifanya wanajua hata wasivyojua na ndio maana mna walimu wengi wa Kiswahili nje than us wakati njie hamkijui..hatuwachukii ila mnajistukia sana labda kuna hujuma mnatufanyia.
 
[tabia yenu ya kutoa nyuma ili mpate kazi itawaponza ndugu zetu wakenya. Wekeni utu mbele sio kila kitokacho ulaya ni kizuri]
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys

Tunawapenda, ni matani tu ya mtu na jirani yake. Tusipo watania nyinyi tutawatania kina nani tena?
Si unaona mwenyewe eduction ilivo kuponda hapo? tujivunie kiswahili chetu bwana (chetu sisi na nyinyi) tuache kuwashobokea wadhungu!
Alafu unaonekana umetunga thread kwa hasira ya kutoswa...
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Nilichogundua katika maelezo yako inaonesha wewe na watu kama wewe
(siwasemi Wakenya wote) mna matatizo. Dhambi yako na ya watu kama
wewe ni hiyo fikira kuwa Wakenya wameelimika sana kuliko Watanzania.
Unakuja hapa kuwataka watu wawache ubaguzi wakati wewe ndio mbaguzi Mkuu.
Unakuja hapa kuwataka watu eti "tupendane", watu ambao unawadharau kuwa
hawana elimu, watu ambao kwako wewe ni wajinga.
Unamuendea mtu unamwambia:
"Najuwa wewe huna elimu, najua wewe mjinga, nimekuja tusibaguane, tushirikiane"
Inasikitisha na ninakusikitikia. Pole sana.
 
Tumesha saini mkataba for the establishment of East African Federation. Bandugu lets move on.
 
Pamoja na small number ya wasomi tulonayo...but ktk hali halisi inaonyesha Mtz mmoja msomi ni sawa na wakenya 2...wakenya hupenda kujifanya wanajua hata wasivyojua na ndio maana mna walimu wengi wa Kiswahili nje than us wakati njie hamkijui..hatuwachukii ila mnajistukia sana labda kuna hujuma mnatufanyia.[/QUOTE]

Hapa umenikumbusha kitu.
Mwaka 1992 nilihudhuria Maonyesho ya Kimataifa nchini Spain baada ya kusoma kuwa liko banda la Tanzania.
Nilipofika nilikuta banda la Kenya. Kwa kuwa nilifatana na wadhungu mimi nilibaki kimya kusikia ndugu zetu hawa wanasema nini na wanafanya nini.
"Mlima Kilimanjaro uko Kenya/ Makonde Craft inatoka Kenya/ Tingatinga Pintings ni za Kenya".
What a shame! Badae nilipowaambia kuwa mimi ni Mtanzania midomo yao ikapata kigugumizi.
Kuna mengine mengi wanayatenda nyuma ya visogo vyetu kuiwakilisha au kuchukua nafasi ya
Tanzania.
Hawa watu hatari kweli! Lakini kwa hilo siwalaumu. Ninaweza hata kukubali kuwa hawa jamaa wajanja sana na Watanzania tumelala. Hebu tuamke tuwakate kidomodomo.

 
Jamani watz wenzangu tusifiche hisia zetu, ukweli ni kuwa hatuwapendi wakenya hivyo tusimfiche huyo nyang,au. Hebu jiulize hata baba yetu wa Taifa aliwaita manya'au wakenya. Huyo kenyata ajue kuwa kweli wakenya ni kichefuchefu kwetu na kama kuna watz wanasema wanawapenda wakenya basi ni kwasababu hawajui tabia za wakenya. Ukweli ni kuwa kama kenya isingekuwa mwanachama wa EAC basi tungekubali shirikisho hata kesho ila kwasababu kuna nyang'au ndo maana tunataka tuendelee tu kushinda na sio kuungana mpaka watakaponyoosha mikono.
 
najua hamtupendi but we are here to stay,mbona serikali yenu inatupenda,twafanya kazi twalipa tax,serikali yenu yawajua nyie wavivu sana

siungepata hata unaibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa kama umesoma.umenichefua mpuuzi wewe
 
Tumesha saini mkataba for the establishment of East African Federation. Bandugu lets move on.
Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa? Tumesema ktk EAC hatutaki kusikia kitu kinaitwa Ardhi ya pamoja, ulinzi wa pamoja na matumizi ya vitambulisho vya uraia; ktk hali hiyo bado unadhani kuna shirikisho? mkiendelea kuwa wagumu tutaishia kwenye sarafu moja na hapo tutaona nani imekula kwake. Kwetu sie ushirikiano wowote wa kibiashara unatulipa lakini sio kwenye ardhi, kuhusu ulinzi sie tunajua wenyewe nyie mnaotaka kusaidiana ulinzi endeleeni wala msitusubiri maana mtasubiri miaka nenda rudi.
 
sio kweli hata kidogo,nimekaa na wakenya na nimefanya nao kazi,hawapendani wenyewe kwa wenyewe,hata ndugu wa damu hawapendani,halafu dharau nyingiiiii, sasa ofisini walikoma na sisi kwenye kazi tuko competent, english tukawatupa kule,mnajua english wapiiii kazi kumix 'r' na 'l',wanabaki kila saa kuuliza are you from TZ? halafu hamna manners,mkikaribishwa kwa watu mnajikaribisha mpaka bedroom kuchungulia wakati mmekaribishwa sitting room. Please style up before you come up with such conclusions. Tunawapenda ila badilikeni!:rolleyez:
 
Hey! Why so arrogant! Kenyan! What have you done to poor people of syokimau? It's known 'mathare' is the largest slum in africa. Kibera also. Your large urban population is found in those slums. In stead of helping them you're planning to demolish their dwellings. To hell with wenye roho mbaya.
 
sio kweli hata kidogo,nimekaa na wakenya na nimefanya nao kazi,hawapendani wenyewe kwa wenyewe,hata ndugu wa damu hawapendani,halafu dharau nyingiiiii, sasa ofisini walikoma na sisi kwenye kazi tuko competent, english tukawatupa kule,mnajua english wapiiii kazi kumix 'r' na 'l',wanabaki kila saa kuuliza are you from tz? Halafu hamna manners,mkikaribishwa kwa watu mnajikaribisha mpaka bedroom kuchungulia wakati mmekaribishwa sitting room. Please style up before you come up with such conclusions. Tunawapenda ila badilikeni!:rolleyez:

yaani kama ulikuwa na mimi. Niko nao hawa nyang'au, hawana lolote, hata hicho kizungu chenyewe ni kama ulivyosema hawa wakamba good wanasema ngud, madame wanasema mandam, order wanatamka onda.
Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Halafu jinsi walivyo wajinga ardhi yote yenye rutuba walimwachia mzungu. Angalia rift valley masetla tu ndio wanajidai, mmezidiwa hata na zimbabwe.

Kule naivasha mashamba yote ya maua ni ya wazungu.

Angali nakuru. Delamere anamiliki karibu robatatu ya ardhi.

Na kwetu hampati kitu nyang'au nyie. Watumwa wa wazungu.

Mnakera sana. Lo!
 
pamoja na small number ya wasomi tulonayo...but ktk hali halisi inaonyesha mtz mmoja msomi ni sawa na wakenya 2...wakenya hupenda kujifanya wanajua hata wasivyojua na ndio maana mna walimu wengi wa kiswahili nje than us wakati njie hamkijui..hatuwachukii ila mnajistukia sana labda kuna hujuma mnatufanyia.[/quote]

hapa umenikumbusha kitu.
mwaka 1992 nilihudhuria maonyesho ya kimataifa nchini spain baada ya kusoma kuwa liko banda la tanzania.
Nilipofika nilikuta banda la kenya. Kwa kuwa nilifatana na wadhungu mimi nilibaki kimya kusikia ndugu zetu hawa wanasema nini na wanafanya nini.
"mlima kilimanjaro uko kenya/ makonde craft inatoka kenya/ tingatinga pintings ni za kenya".
what a shame! Badae nilipowaambia kuwa mimi ni mtanzania midomo yao ikapata kigugumizi.
kuna mengine mengi wanayatenda nyuma ya visogo vyetu kuiwakilisha au kuchukua nafasi ya
tanzania.
hawa watu hatari kweli! lakini kwa hilo siwalaumu. Ninaweza hata kukubali kuwa hawa jamaa wajanja sana na watanzania tumelala. Hebu tuamke tuwakate kidomodomo.


wanadai kihistoria mlima kilimanjaro ulikuwa wakwao ila malkia aliutoa zawadi kwa harusi ya mwanawe.

Ndio maana hata ramani imepinda pale karibu na mlima kuukwepesha uingie tz.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom