WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.

kenyata

Member
Dec 18, 2011
19
5
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
 
Nipe mfano wa kazi hizo unazoziita za kitaaluma ambazo Mtz hawezi?

Halafu; ulitegemea mwanamke wa kiTZ akubabaikie kisa mkenya? Hao mademu ni wakenya, TZ kuna wanawake na mabinti!

Kwa uzoefu wangu; wanaume wengi wa kikenya maarrogant, washamba na hawajui mapenzi hivyo huyo Mdada hakutaka kupoteza muda wake!
 
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Mkuu
1. Wakenya nyinyi ndo dhambi ya ubaguzi inawatafuna na ushahidi ni jinsi mlivyomalizana katika election iliyopita kwa kubaguana makabila
2.Kielimu hakuna mlichotuzidi zaidi ya lugha ya malkia.taaluma nyingi tz wapo fresh nawapa max kwenye ujasiriamali mmepiga hatua lakini nasi tunakuja
3.Tunawapenda sana ndo maana mmejaa kwetu mkifanya kazi bila hata permit na vipande vya uhamiaji
4.Huyo demu alikukimbia kwa kuwa anjua wakenya wengi hamtahiri na mnachambia karatasi
ALIYESOMA ASINGETUANDIKIA MATUSI HAYO>ASANTE
 
Kwani Wakenya mnawapenda wenzenu? Achia mbali WaTZ nyie kwa nyie ni chuki mtindo mmoja labda awe wa kabila lako!

acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
 
Mkuu
1. Wakenya nyinyi ndo dhambi ya ubaguzi inawatafuna na ushahidi ni jinsi mlivyomalizana katika election iliyopita kwa kubaguana makabila
2.Kielimu hakuna mlichotuzidi zaidi ya lugha ya malkia.taaluma nyingi tz wapo fresh nawapa max kwenye ujasiriamali mmepiga hatua lakini nasi tunakuja
3.Tunawapenda sana ndo maana mmejaa kwetu mkifanya kazi bila hata permit na vipande vya uhamiaji
4.Huyo demu alikukimbia kwa kuwa anjua wakenya wengi hamtahiri na mnachambia karatasi
ALIYESOMA ASINGETUANDIKIA MATUSI HAYO>ASANTE

hapo sijakuelewa,mbona wakenya wengi company zao zipo tanzania kama investors lakini kenya hakuna company za watanzania
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu

wasikimbiwe waingereza wenyewe ije kuwa mluya weye! Phfewww; disgusting!
 
Uwezo wa kuongea 'sheng'?
Halafu kukimbiwa na demu ndio ukahitimisha ulichohitimisha?
Hebu rudisha upuuzi nyumbani bana
 
nyie watz inaonekana hamuwezi kufanya socialize na watu kutoka nchi zingine,mna aibu sana,halafu mnapenda sana kujiona nyie mko na roho nzuri,lakini umaskini wenu wa akili utawaletea umaskini sana
 
user-offline.png
kenyata

Today 12:16
#1
Junior Member Array

Join Date : 18th December 2011
Posts : 1
Rep Power : 0

[h=2]
icon1.png
WaTZ Mbona hampendi wakenya?[/h]Post ya kwanza ushaanza matusi..hebu pitia post za wakenya wenzako humu uone wanasemaje
 
wasikimbiwe waingereza wenyewe ije kuwa mluya weye! Phfewww; disgusting!

in addition alkuona boya kuanza kujpendekeza kwake kwa kiingereza, il umcorrupt wakat englsh ynyw mnaongea neno 1 1 ka mtt.
 
Wakenya mi nawapenda saana ila tatizo lao ni moja tu la kutaka kujifanya wapo juu kuliko wengine, na kama wewe ndugu umefuta japo ujinga tu usingeweza kuandika vitu kama hvyo humu, it might be true what you a saying about as but we are the best in East Africa Sir. pia hamjabahatika kuwa na sura nzuri kiukweli hlo kubali kama muungwana, I have a friend of mine Kenyani she so agry lakini anajiona kama Ray-C, nyie mnatuweza kwa mbio tu na si vinginevyo ndugu.
 
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
Inkoskaz ameshakujibu kwamba "huyo demu alikukimbia kwa kuwa anjua wakenya wengi hamtahiri na mnachambia karatasi ", sasa mbona hutaki kuridhika na jibu? Eti "mimi nilishangaa sana..." Ulishangaa nini, mbona wewe bado una akili za kikoloni? Amka!
 
Wakenya mi nawapenda saana ila tatizo lao ni moja tu la kutaka kujifanya wapo juu kuliko wengine, na kama wewe ndugu umefuta japo ujinga tu usingeweza kuandika vitu kama hvyo humu, it might be true what you a saying about as but we are the best in East Africa Sir. pia hamjabahatika kuwa na sura nzuri kiukweli hlo kubali kama muungwana, I have a friend of mine Kenyani she so agry lakini anajiona kama Ray-C, nyie mnatuweza kwa mbio tu na si vinginevyo ndugu.

sasa wewe unataka kuandika nini?mimi sijaelewa/ndio maana tunasema uwezo wenu mdogo sana
 
We sema umekuja kutaka kutuhalibia tu, sisi kama ni masikini wewe kinakuuma nini? au unapungukiwa na nini? kama tz ni masikini ulikuja kufanya nini? sikia kitu kingine ni kuongea saana na wala si kusoma sana kama unavyodai coz hata mimi kazi ninayoifanya ukiambia sikuisomea hata kidogo utakubali? You real pic me off totally thank God he forgive you for what you said about the great Nation like Tz, na kwa wenda wazimu kama huu unaweza kusababisha mkatengwa kweli kisha mkarudi kwenu kutaabika na njaa na usikute mtu mwenyewe mbayaaaa, jeusi tiiiiiiiii usipo kenua watu wanaweza kukupita juu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom