Dah...Kama kashakufa...atakuwa amekufa kizembe sana...NO REPLY!!
atakua keshakufa huyu.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nakushauri uache bangi.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Msaada Mkubwa ambao mimi nauona mbele yangu, ambao unaweza kuniokoa na shida pamoja na tabu mbali mbali ni KIFO
Sent using Jamii Forums mobile app
Giza linapotanda sana ujue panakaribia kucha.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, ni kipindi cha kumkimbilia Mungu, mtegemee yeye peke yake hata kama sisi wanadam tumekuangusha!
Upo mlango wa kutokea hapo ulipo, tazama
Bado kuna tumaini hata giza liwe totoro kiasi gani!