Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Depression ni yakuogopwa kuliko cancer, maana ikikuandama uwezekano Ni mdogo Sana wakuhimili hasa kwa wanaume

Nimepitia mengi Sana Sana Sana, magumu nakiri mpaka Sasa siishi maisha ya kufurahia, ila nachoshukuru huwa sijutii kuishi kwangu, yaani am proud being alive, ndugu yangu, jitahidi Sana kujikubali, jitahidi Sana kutafuta marafiki wapya,kutafuta njia mpya za kutatua changamoto unazopitia au hata kuwashirikisha viongozi wa dini changamoto zako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hamna kosa kubwa mbele ya mwenyezi mungu kama kijitoa uhai wako aliokupa kamwe usithubutu kufanya hivyo, kumbuka ya Ayubu kwenye vitabu vya dini hakukata tamaa mpaka mwisho wa ushindi. Kabla ya kufanya lolote jiulize wapo binadamu kama wewe wapo gerezani wamehukumiwa maisha hawaelewi hatma yao wewe upo stand ya kupata njia sahihi mda wowote kwann ufanye hivyo. Mm naamini wewe ni Ayubu utashinda muda usio mrefu utakuwa mshindi na utanikumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mimi namuomba sana Mungu lakin sisaidiwi

Ifike hatua Mungu atoe kifo kwa hiari kwa mimi mimi sikujizaa wala kujiumba

Kama alivyoniumba kwa hiari yake bas namuomba aniue kwa hiar yake pia

Siyo kuteseka namna hii ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha mi safari kaka, nawewe unasafiri, piga moyo konde amini umekaribia kufika, it's not over until is over broh, mwanga huonekana kwenye giza nawewe upo gizani tegemea mwanga kukumulikia hivi punde, kaka ona watu wengi waliokuzunguka hapo ulipo wanafarijika hata kukuoana, nisikilize broh, usione watu wanacheka kila mtu ana shida, kaka hebu fikiria yule ambaye yupo kitandani kwasababu ya kansa, vipi yule mwenye virusi vya ukimwi stage 4, na vipi yule mlemavu hana miguu wala mikono tena kipofu, kaka haya ni maisha na sisi kazi yetu ni kuyaishi, hebu tuyaishi kwa matumaini tuone mbele itakuwaje, usikate tamaa kaka, wapo watoto wadogo mayatima hata kula yao hawaielewi wananyanyaswa broh lakin wanaamini ipo siku. Kaka Mungu ni wetu wote but hawezi kutoa Kwa wote kwa wakat mmoja ni suala la zamu, broh trust me zamu yako ipo kaka tena imekaribia.. braza nina hamu ya kuandika mengi maana hali unayopitia kwasasa ni 90% ya sisi vijana tunapitia au tumewahi kupitia. Jipe moyo mkuu, inua uso tazama mbele, jipige kifuani sema "ipo siku"... then kanunue kipande cha muhogo unywe na maji, kaa kivulini mwambie Mungu nipo hapa.. kakaaaaa... daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee usifikie huko Mayala B changamoto zipo na Kila unaemuona ana Jambo analolipitia Kama changamoto, usijione uko peke ako...

Lakini ili usaidike Ni vyema kuweka wazi linalokusumbua tuko wengi humu ndugu zako ufumbuzi unaweza kupatikana usijikatie tamaa my dear. Tuweke wazi juu ya Lile unalopitie tusaidiane.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
We are but Human being
 
Mkuu Msaada Mkubwa ambao mimi nauona mbele yangu, ambao unaweza kuniokoa na shida pamoja na tabu mbali mbali ni KIFO

Sent using Jamii Forums mobile app
Anko nini tatizo dunia sio sawa tangu mwanadamu kuumbwa ni dhambi kubwa mno kujinyima nafasi ya kuishi. Mayala b je umepoteza nini chenye thamani kwa kufidia na gharama kubwa ya nafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akunusuru, usikate tamaa ndugu, Unaweza kutueleza kinacho kusibu huwenda ukapata msaada humu
 
Mayalla B, nakuomba usitishe maamuzi yako

Hebu fikiria thamani yako hapa jukwaani karibia asilimia 80 au 90 ya memba wote wanakusihi ubadili uamuzi wako.
Sababu hatupo tayari kukupoteza, pia fikiria utakapojiua familia yako na ndugu zako wataumia vipi?
Mapito yapo na kila mwanadamu kwa wakati wake lazima apitie
Usichoke kumuomba M/mungu wakati wake wa kujibu ukifika na atakapo kupa hakika utaridhia. Pia kuwa muwazi nini kinakusumbua
 
Mayala B,

Pole sana Mkuu Mungu wetu hawahi wala hachelewi pale unapokata tamaa ndipo panapokaribia kukucha Usikate tamaa na usiache kuomba najua umeshaomba maombi aina zote lakini kwa sasa Omba Rehema na Muombe Mungu akusamehe kama maombi yako yamekuwa na malalamiko zaidi naimani Upendo wake ni mkubwa mno kwetu ,Nikutakie Amani ya roho sio Kwa akili zako bali huyu tunaemtegemea [emoji120]
 
Mkuu nitawaambia nitawambia naenda kujiulia wapi lakin mda sitawambia

Pia ujumbe wangu mtausoma kwanza ninyi

Ili mradi taarifa ikiktoka mjue ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumefika pabaya sana

Hadi kifo kinakua bora kuliko uhai!

Mkuu funguka tusaidie kwa tunachokiweza, maisha kusaidiana tu


Kujiuwa sio suluhisho.. Kunamaisha baada kujiuwa.. Je utasemaje ukifika huko?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna kiumbe anamuomba ana muomba Mungu kama mimi dunian

Mungu ni mashaid

Nimekuwa ni mtu wa kuteseka tu hakuna msaada wala matumain

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafadhali sana binafsi nimepata maumivu juu ya maamuzi uliyowaza.

Si sahihi kuwaza/kujiwazia hivyo bado unahitaji muda zaidi wa kuendelea kufikiri zaidi na kutulia zaidi even if hauna kitu chochote.

Tafadhali unaweza tueleza ni nini kigumu unakipitia sometimes solution zinaweza patikana hapahapa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, ni kipindi cha kumkimbilia Mungu, mtegemee yeye peke yake hata kama sisi wanadam tumekuangusha!
Upo mlango wa kutokea hapo ulipo, tazama
Bado kuna tumaini hata giza liwe totoro kiasi gani!

Ushauri mzuri sana huu, Mungu akubariki kwa kuwa sehemu ya kunfanya mtu ajisikie kuwa anathaminiwa[emoji1476]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom