Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

pole sana ndugu. jaribu kuwaangalia wachini yako na usiwaangalie walio juu. jaribu kutembelea hospital na uone wanaadam wanavyo teseka. Tembelea ocen road hospital uone binaadam wanavyo teseka kwa saratani. mshukuru mwenyezi Mungu kwa kila jambo. SHARI NA KHERI ZOTE ZINATOKA KWAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mimi namuomba sana Mungu lakin sisaidiwi

Ifike hatua Mungu atoe kifo kwa hiari kwa mimi mimi sikujizaa wala kujiumba

Kama alivyoniumba kwa hiari yake bas namuomba aniue kwa hiar yake pia

Siyo kuteseka namna hii ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kinaitwa Mungu,watu wanakesha Usiku na mchana wanamwomba ila Holaaaaa maisha ni magum kuliko kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila binadamu ana ubinadamu ......Tuliza akili omba kwa imani yako mana Mungu ni wetu sote........Ikipendeza sana funga kwa maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, Mungu akuondolee maumivu uliyo nayo. Jipe moyo no situation is permanent
 
1. Kuna mikataba /maagano yoyote uliingia pasipo kujua mwisho wake na sasa huoni pa kutokea zaidi ya kujiua?

2. Kuna watu/ viumbe wa aina yoyote ile wanakuzonga wakihitaji uwatumikie na huoni namna ya kuepukana nao zaidi ya kujiua?

3. Uliwahi kushiriki umwagaji damu kwa namna yoyote ile na kwa sasa damu hiyo inakuandama hivyo umeshindwa kabisa kuikwepa?

Ninafikiri shida yako ipo kwenye kundi moja kati ya hayo niliyotaja. Hizo ni miongoni mwa changamoto ambazo ni ngumu sana kuziweka wazi!

Usiogope! Zinatatulika..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapiga ramli mmeanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, ni kipindi cha kumkimbilia Mungu, mtegemee yeye peke yake hata kama sisi wanadam tumekuangusha!
Upo mlango wa kutokea hapo ulipo, tazama
Bado kuna tumaini hata giza liwe totoro kiasi gani!
Kumbe muda mwingine huwa unatema point...Hongera sana
 
Mkuu Msaada Mkubwa ambao mimi nauona mbele yangu, ambao unaweza kuniokoa na shida pamoja na tabu mbali mbali ni KIFO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua uliyoifikia ni mbaya sana....kataa kifo ndugu... Hakuna tatizo duniani linalokuhalalisha ucommit suicide... And keep in mind utahukumiwa kwa hilo...Kuna matatizo makubwa yanampelekea mtu kufanya hivyo mfano madeni,kwenda jela n.k...pia yapo yale yanayotokea kutokana na kuteleza kwetu mfano kukwaa magonjwa kama ukimwi...whatever the case usijaribu... Kwanza yawezekana kuna mwanga mzur mbele yako... Pili waweza juta huko mbele ambapo kwa wengi wetu ni giza hatufahamu lililopo...Ni hayo tu.
 
In matters of life and death!Yes


Huwa nina mizaha mingi,ndio!
Nina mtazamo chanya kuhusu maisha, kifupi huwa nasema sikuja duniani kupambana na maisha bali kuishi, mimi najaribu sana kufurahia kila nafasi ninayoipata, na kama ukiniona huku most of the times ujue things on the ground are tougher! So naingia kucheka, kuchokoza watu kidogo, kujoke kidogo nikikaa sawa napotea!
Kumbe muda mwingine huwa unatema point...Hongera sana
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaojiua kuna jini linahusika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu badili kwanza jina lako maana kwa mujibu wa Rais linamaanisha njaa. Pili Yesu alisema kuwa hatujui kuomba. Tatu kwa tendo la kukata tamaa tu ni dalili za kumkufuru Mungu mwenyewe. Yeye alishasema ametuwekea mema na mabaya mbele yetu kwa sisi kuchagua. Sasa ukijichunguza utagundua kuna mahali ulibugi, na maisha hayana huruma. Fikiria waliofanikiwa kwenye michezo kama Mayweather, Bolt, Samatta (haina kufeli), na wengine. Fikiria mwanariadha anawekewa viunzi na kuruka kimoja baada ya kingine hadi anafika mwisho. Si wote wanafanikiwa ila yuko mmoja anavikwa taji. Usitegemee ikafika siku ukamsikia Mungu anakwambia kilio chako nimekisikia na sasa pata amani. Bado hujaamua kufikiri vizuri. Usitamani mambo makubwa sana, kwani yapo yaliyo karibu yako na pengine unayapuuzia kumbe ndio mlango wako wa kutokea. Jiwekee malengo hata ya miaka miwili na uhakikishe angalau umekalilisha kwa asilimia 80 baada ya huo muda. Nachoona kwako, na kwa wengi wetu nikiwa mmojawapo hauna/hatuna mkakati na subira ya kufikia malengo. Jichanganye na maua waridi nawe utanukia waridi. Lakini ukijichanganya na makapuku ndio maana unanukia kifo
Ndugu mimi namuomba sana Mungu lakin sisaidiwi

Ifike hatua Mungu atoe kifo kwa hiari kwa mimi mimi sikujizaa wala kujiumba

Kama alivyoniumba kwa hiari yake bas namuomba aniue kwa hiar yake pia

Siyo kuteseka namna hii ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapumbavu watakuja kukubeza hawaelewi unachopitia. Depression is real. Mi kuna mtu kila nikitaka kufanya maamuzi magumu yuko nyuma yangu kuniokoa nawaza siku akifa nafkiri ndo utakua mwisho wangu hapa duniani kwenu nyinyi wenye furaha.
Badirisha mtazamo wako maisha yako pia yatabadirika

Anza kwa kubadiri Avatar yako "Maiti"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K hiyo ukiwa mbinguni ,utakuwa unatupa mrejesho?
 
Kwanza pole sanaa kwa matatizo, Swala la kujiua au kuuwa huwa ni jepesi sanaa wakati unapopata tatizo. Kitu ninacho kushauri usichukue maamuzi ya kujitoa uhai utawapa ushindi maadui zako. Usipende kukaa peke yako kwa kipindi hiki nichanganye kwenye muziki na beach. Ila kumbuka swala lako ni dogo sana hapa duniani kuna watu wana matatizo zaidi yako na bado maisha yanaendelea.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In matters of life and death!Yes


Huwa nina mizaha mingi,ndio!
Nina mtazamo chanya kuhusu maisha, kifupi huwa nasema sikuja duniani kupambana na maisha bali kuishi, mimi najaribu sana kufurahia kila nafasi ninayoipata, na kama ukiniona huku most of the times ujue things on the ground are tougher! So naingia kucheka, kuchokoza watu kidogo, kujoke kidogo nikikaa sawa napotea!
Avatar yako Inakufanya uwe victim wa mazingira
Badirisha jina hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom