Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Mimi judhi ningekua na silaha kuna mbwa ningempelekka kudhimu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Mimi judhi ningekua na silaha kuna mbwa ningempelekka kudhimu! Niliamua kujitahidi kukaa kimyaaaaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Don't make a promise you can't fulfill...
 
Dah pole mkuu mimi napitia mambo magumu zaidi yako ngoja niwasimlie kidogo, nilikua na vibiashara viwili nilikopa mkopo, nmejenga nyumba ya room 3 safi kila kitu finishing tayar hadi maji, nikakopa mkopo bank wa kwanza 6ml nikalipa fresh wa pili nika chukua 15ml nikaongeza kweny biasha zangu na nyingine 6ml nikanunua kipande cha ardhi kwa ajili ya kujenga kajumba kakupangisha niko dar

mambo ndipo yalivoaanza kuyumba baada ya kununua hiko kiwanja cha 6ml niliangukia kweny mikono ya mataperi kumbe kiwanja sio chao tukaanza kesi mara serkal za mitaa hio ikashindikana mkpo nikawa narejesha kwa mbinde nika malizia huo na nikachuka mwingine ili nijiokoe na majanga maana nimeanza kuyumba hata kibiashara, sasa safar hii huo mkpo ndo umeniletea majanga makubwa ulinishinda kulipa mikatafuta msaada kwa kila ndugu majaa wote wakanikaushia na kunitenga nikaona ya nn niteseke na kusubir mpka bank waje kuuza kibanda changu cha vyumba vi3 kumbuka ndo nilokuwa nimweka kama dhamana

Tukashauiliana ma mke wangu tuuze kajumba ketu ili tulipe deni bank na tununue kiwanja kingine na tuanze kujenga tena kajumba kengine tuwahi kabla hakajaunzwa na bank tukarishia wote wawili maana kajumba ketu kalikuwa kazur na tuliamini tutapata mteja atakae toa hera nzur kidogo ya kufanya mambo yote hayo basi tukapata mteja wa kununua kama bahat akatoa hera nzur tu mapka watu wanashangaa tumepatajw mteja wa kutoa hera zote hizo,

Tukalipa deni lote bank na zingine tunata nunua kiwanja na kuanza ujenzi hadi leo hii nikama niaka mi3 nyumba na hatujamaliza nyumba yetu hiyo bado tumepanga, mpaka sasa biashara zote 2 zilisha kufa maana tuna lipa ada za watoto tuliowaanzisha shule za English medium na wako madarasa ya juu kiasi kwamba huwezi kuwatoa huko ukawarudisha kweny shule za serkal zile za kayumba sasa utakuta naandamwa mara kodi ya nymba mara mnataka msogeze kajumba kule tunakojenga kweny sait yetu mpya yaani ni full mtihani kumbuka maisha yenyewe haya ya. Magu vyumba vimekaza baraa mara nyingi watoto wanafukuzwa shuleni kwao kumbuka kuna mmoja yuko darasa la 7 mwka huu sasa afukuzwe wiki nzima yuko nyumbani huku watoto wenzio wana endelea na masomo nk japo wakuu wa shule wananivumilia lakin wanafika mwisho kumbuka nao wanahitaji sana pesa ili kujiendesha, kulipa miahahara ya walimu, magar ya kubeba wanafunzi, madereva, nk

Sasa hayo yotw kumi 9.. Tuliibiwa home simu 3 zote smartphone na vijisent kias kesi mpka leo mpelelezi yuko kimya anataka hera, kweny familia yangu baba angu baba na mdogo angu walipata huo msara baraa kesi mbaya ya kutuhumiwa kuua wote mpka sasa wapo tumande kesi inaendelea kumbuka mimi ndo mtoto wa kwanza ktk hio family unaweza kupata picha ni namna gani napata wakat mzito yaani kama sio kujifariji unaweza kuamua kujinyonga hata mimi siku za nyumba nilikuwa nawashangaa sana watu wanaojiua pia nilikua naziuliza watu qanarogaje yaani kwann waroge lakini kutokana na mitihani hii niliokutana nayo mtu akiroga au kujiua siwezi kumshangaa tena mimi. Mwenyewe nikipata hera lazima nikawaroge wote walionifanyia mabaya.. Yani maisha yamenibadilikia kama sio mimi vile nimefikia hatua hata ya kukosa elf 1 tu inanihangaisha na nina majukumu yote hayo embu vuta picha naaumiaje na kupata taabu kias gani jmn, usiombe kuishiwa hera jmn harafy majanga yawe mengi ni mtihani sana mwanaume mwenzenu napitia...sina kazi wala nn nipo nipo tu kama kuna mtu anaweza kunipa connection ya issue ya kufanya angalau nipoze ukali wa maisha nitashukur sana aisee..hata ukondakita, boda boda nk nipo dar.. Sio kama napenda kushare hii story hapana ni ili tu na wengine qajifunze na wafarijike wasijione wanapitia mambo magumu pekee yao tupo tunaopitia magumu hata zaidi yao
Mkuu Msaada Mkubwa ambao mimi nauona mbele yangu, ambao unaweza kuniokoa na shida pamoja na tabu mbali mbali ni KIFO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana, pole sana ndugu..

Ni vyema ukaweka wazi nini kimekusibu tukakusaidia, hakuna tatizo kubwa duniani hapa. Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu utapata wepesi..
 
Naonaaaa kimyaa sijuooo ameshaaakuafa aagh usikufee please

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Ndugu yangu mateso niliyo nayo ni Makubwa sana

Nimemutumaini Mungu bila msaada nimechoka bora nife tu mimi

Machozi yananitoka mimi nimekuwa ni Mtu shida miaka yote sijapenda kuwa mjinga wa kwenda kwa waganga

Nimemutumania Mungu lakin wapi

Kama Mungu kaweka agano na shetan niingie kwenye kikombe hiki bas nimechoka Mungu atafute mwingine naomba kikombe hiki kiondoke kwangu ila siyo kwa Mapenzi yangu bali kwa mapenzi yake Mungu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeogopa kuendelea kusoma hoja hii. Nakuuliza neno moja au mawili;
Una umri gani?? Je, Huo umri ulio nao ambao umekuwa unapitia mateso tuuuu mbona hukuwaza kifo hadi leo?? Kweli neno linasema kweli daima. Neno linasema hivi; Usiku umeendelea sana,Mapambazuko ni karibu.
Siku unajiondolea uhai wako utashangaa ndiyo ilikuwa siku njema kwako. Kesho yako ipo mikonini mwa Mungu
 
Dah pole mkuu mimi napitia mambo magumu zaidi yako ngoja niwasimlie kidogo, nilikua na vibiashara viwili nilikopa mkopo, nmejenga nyumba ya room 3 safi kila kitu finishing tayar hadi maji, nikakopa mkopo bank wa kwanza 6ml nikalipa fresh wa pili nika chukua 15ml nikaongeza kweny biasha zangu na nyingine 6ml nikanunua kipande cha ardhi kwa ajili ya kujenga kajumba kakupangisha niko dar

mambo ndipo yalivoaanza kuyumba baada ya kununua hiko kiwanja cha 6ml niliangukia kweny mikono ya mataperi kumbe kiwanja sio chao tukaanza kesi mara serkal za mitaa hio ikashindikana mkpo nikawa narejesha kwa mbinde nika malizia huo na nikachuka mwingine ili nijiokoe na majanga maana nimeanza kuyumba hata kibiashara, sasa safar hii huo mkpo ndo umeniletea majanga makubwa ulinishinda kulipa mikatafuta msaada kwa kila ndugu majaa wote wakanikaushia na kunitenga nikaona ya nn niteseke na kusubir mpka bank waje kuuza kibanda changu cha vyumba vi3 kumbuka ndo nilokuwa nimweka kama dhamana

Tukashauiliana ma mke wangu tuuze kajumba ketu ili tulipe deni bank na tununue kiwanja kingine na tuanze kujenga tena kajumba kengine tuwahi kabla hakajaunzwa na bank tukarishia wote wawili maana kajumba ketu kalikuwa kazur na tuliamini tutapata mteja atakae toa hera nzur kidogo ya kufanya mambo yote hayo basi tukapata mteja wa kununua kama bahat akatoa hera nzur tu mapka watu wanashangaa tumepatajw mteja wa kutoa hera zote hizo,

Tukalipa deni lote bank na zingine tunata nunua kiwanja na kuanza ujenzi hadi leo hii nikama niaka mi3 nyumba na hatujamaliza nyumba yetu hiyo bado tumepanga, mpaka sasa biashara zote 2 zilisha kufa maana tuna lipa ada za watoto tuliowaanzisha shule za English medium na wako madarasa ya juu kiasi kwamba huwezi kuwatoa huko ukawarudisha kweny shule za serkal zile za kayumba sasa utakuta naandamwa mara kodi ya nymba mara mnataka msogeze kajumba kule tunakojenga kweny sait yetu mpya yaani ni full mtihani kumbuka maisha yenyewe haya ya. Magu vyumba vimekaza baraa mara nyingi watoto wanafukuzwa shuleni kwao kumbuka kuna mmoja yuko darasa la 7 mwka huu sasa afukuzwe wiki nzima yuko nyumbani huku watoto wenzio wana endelea na masomo nk japo wakuu wa shule wananivumilia lakin wanafika mwisho kumbuka nao wanahitaji sana pesa ili kujiendesha, kulipa miahahara ya walimu, magar ya kubeba wanafunzi, madereva, nk

Sasa hayo yotw kumi 9.. Tuliibiwa home simu 3 zote smartphone na vijisent kias kesi mpka leo mpelelezi yuko kimya anataka hera, kweny familia yangu baba angu baba na mdogo angu walipata huo msara baraa kesi mbaya ya kutuhumiwa kuua wote mpka sasa wapo tumande kesi inaendelea kumbuka mimi ndo mtoto wa kwanza ktk hio family unaweza kupata picha ni namna gani napata wakat mzito yaani kama sio kujifariji unaweza kuamua kujinyonga hata mimi siku za nyumba nilikuwa nawashangaa sana watu wanaojiua pia nilikua naziuliza watu qanarogaje yaani kwann waroge lakini kutokana na mitihani hii niliokutana nayo mtu akiroga au kujiua siwezi kumshangaa tena mimi. Mwenyewe nikipata hera lazima nikawaroge wote walionifanyia mabaya.. Yani maisha yamenibadilikia kama sio mimi vile nimefikia hatua hata ya kukosa elf 1 tu inanihangaisha na nina majukumu yote hayo embu vuta picha naaumiaje na kupata taabu kias gani jmn, usiombe kuishiwa hera jmn harafy majanga yawe mengi ni mtihani sana mwanaume mwenzenu napitia...sina kazi wala nn nipo nipo tu kama kuna mtu anaweza kunipa connection ya issue ya kufanya angalau nipoze ukali wa maisha nitashukur sana aisee..hata ukondakita, boda boda nk nipo dar.. Sio kama napenda kushare hii story hapana ni ili tu na wengine qajifunze na wafarijike wasijione wanapitia mambo magumu pekee yao tupo tunaopitia magumu hata zaidi yao
Dah ndugu yangu kwa kweli Mungu akupe nguvu ktk hali unayopitia. Me naielewa hyo situation uliyonayo, so sad bt haina jinsi lazma tumpe Mungu nafas ktk hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapumbavu watakuja kukubeza hawaelewi unachopitia. Depression is real. Mi kuna mtu kila nikitaka kufanya maamuzi magumu yuko nyuma yangu kuniokoa nawaza siku akifa nafkiri ndo utakua mwisho wangu hapa duniani kwenu nyinyi wenye furaha.
Jina unalojiita ndipo tatizo linapoanzia.
 
Pole sana kwa unayopitia mkuu, Mungu atakufanyia wepesi one day, na wanasema ukiona giza linazidi sana basi ujue kunakaribia kukucha(mwanga),endelea kumtumainia Mungu mambo mazuri yanakuja na huo utakua ni ushuhuda tu. Polee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nitawaambia nitawambia naenda kujiulia wapi lakin mda sitawambia

Pia ujumbe wangu mtausoma kwanza ninyi

Ili mradi taarifa ikiktoka mjue ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Please usifikirie kufanya hivi, mambo magumu tunapitia wengi tu hauko peke ako, wote tukiamua kujiua dunia itaisha hii aisee, kesho utaona Nuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu. Kufanya unachotaka kufanya mshukuru Mungu kwa unayopitia maana kuna watu wanateseka zaid yako, mfano mm huua naja4ibu kufichà maumiv niliyonayo na ni makubwa sana kwa kuonesha tabasam fek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom