Hata ukipiga simu hapokei🙌🙌Bro heb Kama bad upo hai reply hii comment yangu nikushauri kidogo
Dah inaumiza sana tunapoteza watu wengi pindi wanapohitaji ushauri wetu kwa kuwakatisha tamaaHata ukipiga simu hapokei[emoji119][emoji119]
Sio kweli mkuu!..(kuna watu wamesaidika sana lakini hawakujikubali...sio woteDah inaumiza sana tunapoteza watu wengi pindi wanapohitaj ushaur wetu kwa kuwakatisha tamaa
Noma sana maisha ya dunia ni mtihani mgumuSio kweli mkuu!..(kuna watu wamesaidika sana lakini hawakujikubali...sio wote
Muombe msamaha Mungu ... Marehemu hawezi kukusamehe chochoteKama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nashangaa sana watu wanapo mtegemea Mungu ... wakati hakuna betrayer kama huyo munguAcha kujipa matumaini yasio na msingi,huyo Mungu alisha msaidia nani?
Mbona wote wanashida?hz faraja zako nizakijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh I felt sorry for youMkuu nitawaambia nitawambia naenda kujiulia wapi lakin mda sitawambia
Pia ujumbe wangu mtausoma kwanza ninyi
Ili mradi taarifa ikiktoka mjue ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubalihuwa nashangaa sana watu wanapo mtegemea Mungu..wakati hakuna betrayer kama huyo mungu
Sasa mkuu ukitangulia utatuleteaje mrejesho.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.
Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.
Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.
Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.
Roho yangu inaniuma sana.
Nami naweza tangulia muda wowote.
Nitawaletea kinachoendelea
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ushuzi ulioubana hapo kwenye matako yako ni kwa ajili ya uwezo wake.......wewe jiongeleshe kama umekunywa maji ya chooni kwa kutaka kutengeneza tension watu wakuone ...........MUNGU NDIO MTU AMBAYE HATAJWI KIJINGA KIJINGA .......ZINGATIAAcha kujipa matumaini yasio na msingi,huyo Mungu alisha msaidia nani?
Mbona wote wanashida?hz faraja zako nizakijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole mkuu mimi napitia mambo magumu zaidi yako ngoja niwasimlie kidogo, nilikua na vibiashara viwili nilikopa mkopo, nmejenga nyumba ya room 3 safi kila kitu finishing tayar hadi maji, nikakopa mkopo bank wa kwanza 6ml nikalipa fresh wa pili nika chukua 15ml nikaongeza kweny biasha zangu na nyingine 6ml nikanunua kipande cha ardhi kwa ajili ya kujenga kajumba kakupangisha niko dar
mambo ndipo yalivoaanza kuyumba baada ya kununua hiko kiwanja cha 6ml niliangukia kweny mikono ya mataperi kumbe kiwanja sio chao tukaanza kesi mara serkal za mitaa hio ikashindikana mkpo nikawa narejesha kwa mbinde nika malizia huo na nikachuka mwingine ili nijiokoe na majanga maana nimeanza kuyumba hata kibiashara, sasa safar hii huo mkpo ndo umeniletea majanga makubwa ulinishinda kulipa mikatafuta msaada kwa kila ndugu majaa wote wakanikaushia na kunitenga nikaona ya nn niteseke na kusubir mpka bank waje kuuza kibanda changu cha vyumba vi3 kumbuka ndo nilokuwa nimweka kama dhamana
Tukashauiliana ma mke wangu tuuze kajumba ketu ili tulipe deni bank na tununue kiwanja kingine na tuanze kujenga tena kajumba kengine tuwahi kabla hakajaunzwa na bank tukarishia wote wawili maana kajumba ketu kalikuwa kazur na tuliamini tutapata mteja atakae toa hera nzur kidogo ya kufanya mambo yote hayo basi tukapata mteja wa kununua kama bahat akatoa hera nzur tu mapka watu wanashangaa tumepatajw mteja wa kutoa hera zote hizo,
Tukalipa deni lote bank na zingine tunata nunua kiwanja na kuanza ujenzi hadi leo hii nikama niaka mi3 nyumba na hatujamaliza nyumba yetu hiyo bado tumepanga, mpaka sasa biashara zote 2 zilisha kufa maana tuna lipa ada za watoto tuliowaanzisha shule za English medium na wako madarasa ya juu kiasi kwamba huwezi kuwatoa huko ukawarudisha kweny shule za serkal zile za kayumba sasa utakuta naandamwa mara kodi ya nymba mara mnataka msogeze kajumba kule tunakojenga kweny sait yetu mpya yaani ni full mtihani kumbuka maisha yenyewe haya ya. Magu vyumba vimekaza baraa mara nyingi watoto wanafukuzwa shuleni kwao kumbuka kuna mmoja yuko darasa la 7 mwka huu sasa afukuzwe wiki nzima yuko nyumbani huku watoto wenzio wana endelea na masomo nk japo wakuu wa shule wananivumilia lakin wanafika mwisho kumbuka nao wanahitaji sana pesa ili kujiendesha, kulipa miahahara ya walimu, magar ya kubeba wanafunzi, madereva, nk
Sasa hayo yotw kumi 9.. Tuliibiwa home simu 3 zote smartphone na vijisent kias kesi mpka leo mpelelezi yuko kimya anataka hera, kweny familia yangu baba angu baba na mdogo angu walipata huo msara baraa kesi mbaya ya kutuhumiwa kuua wote mpka sasa wapo tumande kesi inaendelea kumbuka mimi ndo mtoto wa kwanza ktk hio family unaweza kupata picha ni namna gani napata wakat mzito yaani kama sio kujifariji unaweza kuamua kujinyonga hata mimi siku za nyumba nilikuwa nawashangaa sana watu wanaojiua pia nilikua naziuliza watu qanarogaje yaani kwann waroge lakini kutokana na mitihani hii niliokutana nayo mtu akiroga au kujiua siwezi kumshangaa tena mimi. Mwenyewe nikipata hera lazima nikawaroge wote walionifanyia mabaya.. Yani maisha yamenibadilikia kama sio mimi vile nimefikia hatua hata ya kukosa elf 1 tu inanihangaisha na nina majukumu yote hayo embu vuta picha naaumiaje na kupata taabu kias gani jmn, usiombe kuishiwa hera jmn harafy majanga yawe mengi ni mtihani sana mwanaume mwenzenu napitia...sina kazi wala nn nipo nipo tu kama kuna mtu anaweza kunipa connection ya issue ya kufanya angalau nipoze ukali wa maisha nitashukur sana aisee..hata ukondakita, boda boda nk nipo dar.. Sio kama napenda kushare hii story hapana ni ili tu na wengine qajifunze na wafarijike wasijione wanapitia mambo magumu pekee yao tupo tunaopitia magumu hata zaidi yao