kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Ww ni mtoto wa shetani sio?Duh, ndugu usiandike tu ili kufurahisha nafsi. Wana wa Israel ndio watoto wa Mungu utake usitake. Na kwa sisi tunaojua unapomuomba Mungu ili aweze kusikia haraka moja ya maombi yako umtaje kuwa Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Iblahimu, Mungu wa Yakobo na mengine mengi Mkuu. Atakae ichukia Israel na Mungu atamchukia pia. Suala la Mashariki ya kati liliongelewa kwenye biblia, hao wapelestina ni wana wa Ismail ambao katu hawatakuja kupatana na wana wa Isaka ambao ni Israel(Yakobo). Taratibu mkuu, hujui maana tutakujuza. Ukiende kwenye baraka, yeyote atajae wabariki waisrael nae atabarikiwa Duniani na Mbinguni.
Ww ni mlaaniwa ndo maana kazi kusifia weupe tu sijui wabarikiwa, wabarikiwa hawamtambui yesu?hizo baraka zimetoka wapi? Ulikoenda umekuta kuna walokole huko?Kawaongopea watoto wenzako, hata kwenye biblia hakuna weusi. Ila kwa laana aliyopewa mtoto w Nuhu alipomchungulia baba yake. Ndio akasema utazaa watoto weusi, sisi nizao la laana. Mwenzako nimekwenda mpaka bethisaida ng'ambo ya mto Yoldani. Wewe kama unaniletea hadithi pole yako. Na nimekutana na watu waliozaliwa 1860, acha uongo wewe sikuona hata muisrael mweusi kama walivyo wahindi na waarabu. Tena uache!!
ni nani anaye mpenda mtu mweusi?Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Kwani Muisrael aliwahi mpenda nani?Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Kawaongopea watoto wenzako, hata kwenye biblia hakuna weusi. Ila kwa laana aliyopewa mtoto w Nuhu alipomchungulia baba yake. Ndio akasema utazaa watoto weusi, sisi nizao la laana. Mwenzako nimekwenda mpaka bethisaida ng'ambo ya mto Yoldani. Wewe kama unaniletea hadithi pole yako. Na nimekutana na watu waliozaliwa 1860, acha uongo wewe sikuona hata muisrael mweusi kama walivyo wahindi na waarabu. Tena uache!!
Acha kuongea Uongo. Usipende kuongea mambo usiyo yajua. Kwa mwanaume ni aibu kuongea vitu asivyovijua bila haya usoni.ha ha ha,waarabu koko tuko wengi kweli uende mbarali hukosi mwarabu,mpanda,kilosa,taveta,kirinyaga etc,
sasa wewe mwisraeli koko mko wachache mno,Tanzania nzima utakuta labda wako watano tu,halafu mnajisifiaga eti mmetawanyika dunia nzima,
abraham mwenyewe mwarabu,
isaka,ismaeli wote waarabu wale,kasoro yakobo japo mamake Rebeca nae ni mwarabu pia,,ha ha ha
kati ya wana wa Ham ni cush ambae ndo uzao wake pia wapo wanubi,lakini pia misri ni mwana wa ham,so wamisri wa asili sio weusi,bali kama nilivyosema kwenye miaka ya 1000 BC cush empire ilijipanua hadi huko misri mpaka maeneo ya israel ya leo,kwahiyo ni logic ethiopia itajwe katika bible kwani kipindi hicho wacush ndo wanatawala maeneo hayo mpaka wakaja kutolewa na asyria empire miaka ya 720 BCKuna wayahudi weusi ,tena wengi sana ewe zumbekuku!
Halafu ETHIOPIA imetajwa kwenye Biblia mara mingi sana, pia MISRI ile ya kale iliyokuwa weusi tupu/NUBIA.
Udini unadumaza kweli.
Well said! Sijui ni kwanini wakristu wngi na waislam wanashindwa kusoma alama za nyakati na kuishi kwenye ukweli huu, 99.9% ya wale watu waliopo pale sio waoisrael halisi wale ni gentiles(watu wa mataifa), waisraeli halisi ni black(people of colours),wazungu of secret societies na occult communities wameuficha ukweli huu kwa karne nyingi kwa manufaa yao na baba yao(shetwani), someni biblia vizuri waisrael halisi where black like nubies bloodlines! Baadhi ya viongozi wenu wa dini wanalielewa hili ila midomo mizito, real israeliets left black from egypt not white! Aisee watu wengi tutaangamia kwa kukosa maarifa! Nakumbuka siku za nyuma tulipata mlezi padre wa kizungu hapo kanisani kwetu(maeneo flani Dar es salaam), basi padre huyo alikuja kuleta msalaba wa yesu mweusi na picha ya bikira maria mweusi, akauweka kanisani kilichotokea ni balaa, wazee wa kanisa na waumini wengine weusi walipaza sauti zao wakimlaumu na kudhihaki kwanini padri aweke picha ya yesu mtu mweusi kanisani wakati yesu ni mzungu..!? Haya ni matokeo ya kuaminishwa uongo for more than 200 decades! Kwakweli occult commuities wamefanikiwa kuugeuza uwongo kuwa ukweli...!!Kwani mkuu wale walioko pale Israel ndio waisrael wa zamani?
Wale ni waisrael fake original huenda ni 1.9%
Wale watu walio kaa pale israwatu wael ni watu wa Mataifa tu hakuna jipya pale.
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Ngoja waje wenyewe , maana kuna watu wanawasifia humu hadi Bendera zao kujaa kila mahali kuliko kupenda ndugu zao weusi.
Wewe kilaza nini nani kakwambia wayahud ni baraka? Wayahud wamelaaniwa na ALLAHMbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Nahisi unamatatizo ktk akili yako weweArabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Naona "waarabu" koko mmejipanga kweli kweli kwenye huu uzi. Poleni.