Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
wanubi a.k.a Cushite empire mwaka 1020 BC walieneza utawala wao mpaka misri na kisha kupush hadi near east,yaani maeneo ya caanan ikiwemo jerusalem,google 25 egypt dynast.
Ni katika kipindi hiki farao akiwa mkush,yaani mweusi ndo inasemwa kikundi cha waisrael kiliondoka misri kurudi caanan,
habari ya moses inasemakana na uzushi,kwani egypt cush empire walikuwa wanacontrol eneo lote mpaka caanan na vikabila vidogo vilivyokuwa huko caanan vilikuwa vikilipa Tribute kwa utawala wa misri wa kipindi hicho,
kwahiyo hata wafalme wa israel kingdom mwanzoni akina Saul,david,solomon walikuwa na machief tu wa maeneo yao under the protection of egypt empire.
Ikafikia kipindi wacush wakataka kuichokonoa asyrian empire ambayo ilikuwa juu ya caanan katika maeneo ya syria na iraq ya leo,
asyrian wakaanzisha vita dhidi yao,kama sikosei kipindi hicho king wa israel alikua ahaz na hatimae hezekia,akavamiwa na waasyria kwasababu alikuwa anashirikiana na cushite egypt empire,
waasyria wakateka miji yote ya israel kasoro jerusalem operation ikasitishwa baada ya askari wa asyria kuuingiliwa na kipindupindu na hezekia akawa kakubali kulipa Tribute kwa wa asyria,
baada ya hapo waasyria wakaendelea na operationdhidi ya wacush na kufanikiwa kuwapiga na kuwaondoa caanan ,egypt wakakimbilia Meroe,sudan ambako waliestablish empire yao huko,
sasa nashindwa kuelewa iweje waisrael wawachukie weusi wakati walikuwa allience moja dhidi ya waasyria kabla hezekia hajasarenda kwa waasyria,na inasemekana hadi king solomon alikuwa ni mkushi