Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,897
- 33,709
Ninashangaa kila aliyepost kuhusu huu uzi,uwezo wake wa kufafanua,kulijua na kufahamu neno umetoka kwa Mungu mmoja mwenye uwezo na nguvu zote, kama ndivyo nini kinafanya kuwe na utofauti juu ya ufafanuzi wa uzi huu????