Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 278
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.